Kuna Jambo linanikwaza hapa: Naomba kufahamu tabia za mwanamke anayefanya umalaya kwa siri

Kwahyo mtu asipumzike kidogo, amekwambia alihitaji kuwa peke yake
Shida ipo wapi hapo....vicoba vina stress hujui tu...usigombane kwa vitu vidogo hivyo kuwa muelewa
Nashangaa wanamshambulia dada wa watu wakati kishasema alihitaji kua alone, vicoba vinampa stress [emoji23][emoji23][emoji23] japo wanajaribu kumjaza ila mwamba amekolea hachomoki hapo
 
Nashangaa wanamshambulia dada wa watu wakati kishasema alihitaji kua alone, vicoba vinampa stress [emoji23][emoji23][emoji23] japo wanajaribu kumjaza ila mwamba amekolea hachomoki hapo
Wanamjua kijumbe vizuri kweli hawa 🤣🤣🤣🤣 unaamua kujificha zako mtu anahisi unacheat mxiiu
 
Alaaaaaa!unakwama wapi kaka 🤷? huyo ni wakuacha immediately atakuja kukusumbua zaidi uzeeni kama ukikaa naye.
Yaani Dah! hadi ile kitu anakataza wanini sasa humo ndani kama sio kufuga problems.
 
Kwahyo mtu asipumzike kidogo, amekwambia alihitaji kuwa peke yake
Shida ipo wapi hapo....vicoba vina stress hujui tu...usigombane kwa vitu vidogo hivyo kuwa muelewa
Dada yangu Miss Gf, Kuwa alone ndio aamue kwenda lodge kulala? ikiwa anajua mahali napoishi na naishi alone huyu ananipiga
 
Dada yangu Miss Gf, Kuwa alone ndio aamue kwenda lodge kulala? ikiwa anajua mahali napoishi na naishi alone huyu ananipiga
Inategemea stress alitaka kuzimalizia wapi....utajuaje labda watu wa vicoba wamebeba kila kitu kwake..jifunze communication kwenye relationship itakusaidia...huenda labda we mwenyewe ni kero kwake ndyo maana akaamua akapumzike lodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…