Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

Mimi sipendi chadema ila kamwe Lisu hawez kumshinda mbowe kwa namna yoyote ile hata ccm tukimsaidia...
Lisu akishindwa uchaguz akahamia AcT atakuwa amekufa natural death hata sikika popote na hatazingatiwa na yoyote kama alivyo sasa chadema...
All in all chadema ni chama komavu na mbowe anazijua drama za kisiasa ndio maana hadi leo hii zaidi ya miaka 20 sasa chadema ndio chama kikuu cha upinzani...

Njia pekee ya kukiua chama cha mbowe ni kusubiri mbowe afariki dunia, hapo ndipo chama kitakosa muelekeo
 
"There is something I pondered deeply and I think many people have not seen or thought about it. If Lissu is manipulated in the election within CHADEMA and he responds to ACT What will happen? People don't see this"

👏👏
 
Team Lisu kama Team Wema tu,kulia lia na kelele nyingi bila sababu yoyote.

Lisu atimke tu, anatafuta exist door au kugombea uwenyekiti ilikuwa ni exist strategy.
 
Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo watu hawalioni.

Lissu akihamia ACT ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kama chama kikuu Cha upinzani. Maana ataipa back up huku bara na kuwa chama chenye ushawishi mkubwa, na kule visiwani tayari ACT Ina mizizi. Ndipo kwama mara ya kwanza tutapata chama chenye kuungwa mkono Zanzibar na bara.

Hili Jambo nimelitafakari kwa kina Sana nikawaza itakuwaje?. Naomba Wana CHADEMA wenzangu tufanye uchaguzi kwa haki, atakaye shindwa aone ameshindwa kwa haki na tusikubali pesa zikatufanya tufanye maamuzi batili. Tuiangalie CHADEMA ya kesho sio Leo au Tusifanye uchaguzi wa kumpendeza mtu hapana, tufanye uchaguzi kwa Nia ya kuleta mabadiliko ndani ya CHADEMA.

Wakati wetu ni Sasa, tusiruhusu chama chetu kikapotea au kufa kwa sababu za kibinafsi za maslahi ya wachache, tumchague mgombea mwenye maono mapya na mwenye kujua uchungu wa harakati. Tusifanye makosa kabisa, Tanzania inatutegemea. Tusurudie makosa ya RENAMO Msumbiji mpaka ikapitwa na chama Cha PODEMOS kwa ushawishi na uungwaji mkono.

NB.
Siiamini ACT na Wala sidhani Kama kina Nia ya dhati ya kuiondoa CCM madarakani.

Tatizo la ACT wazalendo na hizi serikali na nusu mkate Lissu hatakubali kirahisi
 
"There is something I pondered deeply and I think many people have not seen or thought about it. If Lissu is manipulated in the election within CHADEMA and he responds to ACT What will happen? People don't see this"

👏👏
He will lose the election, he will join CCM just like his friend Msigwa.

Thai is what will happen.

Wakati wa uchaguzi was serikali za mitaa, mara kadhaa Amos Makalla na Nchimbi walisema, mgogoro unaofuka CHADEMA itakufa yenyewe hatunaaja ya kuihujumu.

KIpindi hicho Lisu alikuwa hajagombea nafasi ya uwenyekiti, na alionekana yeye kuwa mstari wa mbele kutimiza majukumu ya kichama, na yeye ndiye aliyeona rushwa kwenye uchaguzi wa kanda, wenzake wote hawa kuona, nahisi alikuwa akipata taarifa kutoka ccm huko huko waliokuwa wakitoa hizo rushwa, ambazo kashindwa kuzithibitisha.

Viongozi wa CCM wamekaa kimya, wanasubiria matokeo ya kufa kwa chadema.

Tusemeje, alikuwa undercover agent au ni double agent, destroying chadema from inside out.
 
Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo watu hawalioni.

Lissu akihamia ACT ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kama chama kikuu Cha upinzani. Maana ataipa back up huku bara na kuwa chama chenye ushawishi mkubwa, na kule visiwani tayari ACT Ina mizizi. Ndipo kwama mara ya kwanza tutapata chama chenye kuungwa mkono Zanzibar na bara.

Hili Jambo nimelitafakari kwa kina Sana nikawaza itakuwaje?. Naomba Wana CHADEMA wenzangu tufanye uchaguzi kwa haki, atakaye shindwa aone ameshindwa kwa haki na tusikubali pesa zikatufanya tufanye maamuzi batili. Tuiangalie CHADEMA ya kesho sio Leo au Tusifanye uchaguzi wa kumpendeza mtu hapana, tufanye uchaguzi kwa Nia ya kuleta mabadiliko ndani ya CHADEMA.

Wakati wetu ni Sasa, tusiruhusu chama chetu kikapotea au kufa kwa sababu za kibinafsi za maslahi ya wachache, tumchague mgombea mwenye maono mapya na mwenye kujua uchungu wa harakati. Tusifanye makosa kabisa, Tanzania inatutegemea. Tusurudie makosa ya RENAMO Msumbiji mpaka ikapitwa na chama Cha PODEMOS kwa ushawishi na uungwaji mkono.

NB.
Siiamini ACT na Wala sidhani Kama kina Nia ya dhati ya kuiondoa CCM madarakani.
Siasa zetu zinahusisha TUMBO zaidi.
 
Team Lisu kama Team Wema tu,kulia lia na kelele nyingi bila sababu yoyote.

Lisu atimke tu, anatafuta exist door au kugombea uwenyekiti ilikuwa ni exist strategy.
Andika tu lugha unayoielewa kwa ufasaha, sasa exist door ndio kitu gan ?
 
Guys...like it or not...CCM ni Mabingwa wa siasa hapa Duniani... Whatever the outcome,mshindi atakua CCM. Kijani wanaratibu mambo Yao kwa Mbali sana... Chadema Kufanya Uchaguzi wa Ndani muda mfupi kabla ya general elections,kuna hesabu zimepigwa vizuri sana... CHADEMA walikua kept busy na figisu za kutosha , juzi tuu ndio wamestuka kuchaguana... Sasa lolote litakalotokea , beneficial ni CCM .
 
Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo watu hawalioni.
tupo tunaoliona
Lissu akihamia ACT ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kama chama kikuu Cha upinzani. Maana ataipa back up huku bara na kuwa chama chenye ushawishi mkubwa, na kule visiwani tayari ACT Ina mizizi. Ndipo kwama mara ya kwanza tutapata chama chenye kuungwa mkono Zanzibar na bara.
Ni kweli tatizo ZZK ni fahali na TL ni fahali, mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja,hata Chadema,siku zote fahali alikuwa ni mmoja tuu, Mbowe,baada ya TL kutangaza kuutaka ufahali, lazima fahali mmoja apishe,kwa maoni yangu,kwa watu wenye akili za nyumbu,TL hawezi kupenya Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Hili Jambo nimelitafakari kwa kina Sana nikawaza itakuwaje?. Naomba Wana CHADEMA wenzangu tufanye uchaguzi kwa haki, atakaye shindwa aone ameshindwa kwa haki na tusikubali pesa zikatufanya tufanye maamuzi batili. Tuiangalie CHADEMA ya kesho sio Leo au Tusifanye uchaguzi wa kumpendeza mtu hapana, tufanye uchaguzi kwa Nia ya kuleta mabadiliko ndani ya CHADEMA.
wenye akili hizi wa kupokea ushauri huu ni binadamu sio hawa nyumbu wa Chadema!,
Wakati wetu ni Sasa, tusiruhusu chama chetu kikapotea au kufa kwa sababu za kibinafsi za maslahi ya wachache, tumchague mgombea mwenye maono mapya na mwenye kujua uchungu wa harakati. Tusifanye makosa kabisa, Tanzania inatutegemea. Tusurudie makosa ya RENAMO Msumbiji mpaka ikapitwa na chama Cha PODEMOS kwa ushawishi na uungwaji mkono.
ushauri mzuri ila kwa binadamu sio kwa nyumbu!.
NB.
Siiamini ACT na Wala sidhani Kama kina Nia ya dhati ya kuiondoa CCM madarakani.
Wewe tuu na wasiwasi wako Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

P
 
Hakuna ukweli wowote hiyo nadhalia haina utafiti wa kutosha Tundu injection ya Chadema ni mtu wa kawaida sana itachukua muda kuaminika

Rejea Zito na Dr Slaa kumbuka kuwa mtu akitoka upinzani anaonekana mnafiki na mpenda madaraka baada ya kukosa uongozi
 
Back
Top Bottom