Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.
Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.
Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.
Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.
Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.
Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.
Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.
Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.
Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.
Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.
Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.