Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kwa hali hiyo tunaelekea pabaya kama taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti vijana wanapeleka moto,wazee wana vitambiNa mishangazi mnapenda watoto wadogo.
Ulini mention unanifahamu?Nimeku mention sijaku quote
Looh!Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.
Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.
Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.
Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.
Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.
Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.
Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.
Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.
Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.
Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.
Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
DuuhNdugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.
Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.
Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.
Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.
Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.
Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.
Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.
Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.
Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.
Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.
Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
Looh!
Kila kukicha matatizo Mapya yanaibuka.
HIi balaaNi kweli kabisa wamekuwa kama waswahili, wazaramu wa miaka ya 198 0 hapa Dsm. Wanaishia kutoboa eksozi za pikipiki na kuvuta mabangi tu na kazi hawataki kufanya.Miaka ya nyuma 19.. vijana wa Arusha walikuwa wakisifka kwa kupambana na maisha , wagumu, nk sio hawa wa leo wanapaka hadi lips shine na kuchonga kope
Kuna watu wanabishaKuhusu pombe, wizi, utapeli na kufirwa ni kweli
😅Ulini mention unanifahamu?