Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.

Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.

Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.

Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.

Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.

Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.

Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.

Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.

Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.

Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.

Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.

Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
Hiyo Arusha ya nchi gani?
Mbona huu ni uzushi?
 
Mkuu hili siyo Arusha tu. Hata Dar lipo. Tena Dar ndiyo zaidi.
 
Kwa hiyo limeshaenea sana
Ni tatizo lililotengenezwa na CCM na bado linaendelea kuzalisha wengi. Kwa mfano hizi pikipiki za Samia ni moja ya channels za kuingiza watu wa aina hii mtaani. Boda zinaanza kuzidi idadi ya wateja, tutegemee zaidi ya haya.
 
Kiukweli kaskazini inahitaji msaada wa halaka Sana vijana wa huko Wana halibika kwa Kasi kubwa Sana

Kidogo ambao wapo salama Ni wale walio toka makwao nakuja kutafuta maisha mikoa mingine

Madawa,pombe,bangi,sigara,milungi,petrol,

madogo wanakuambia mpaka sumu ya panya nistim nzuli sana
 
Hahaha
 
Suala la kufanya kazi ni la mtu binafsi mimi nafanya kazi kukidhi mahitaji yangu kama sifanyi kazi hakuna mtu anahusika na mimi kutofanya kazi
 
Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.

Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.

Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.

Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.

Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.

Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.

Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.

Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.

Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.

Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.

Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.

Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
Pengine ni matokeo ya malezi.
Malezi ya baba ni muhimu kwenye zama hizi.
Otherwise, tutakuwa na wanaume wa jinsia ya kike
 
Kama ni mashoga nenda ukapewe ujauzito alafu uje ufute uzi wako na kuwaomba msamaha.
 
Back
Top Bottom