Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

Asante sana Tuko pamoja yaani unakuta Mwanaume kijana wa Arusha anatamani aolewe na Mwanaume mwenzake ila Mzungu.

Hali inatisha ndugu zanguni mimi nimewashtua tu wenye mapenzi mema waanze kuweka Intervention
Vijana wa Arusha wengi sio wababe kama zamani , wanagawa ubingwa kirahisi hadi wamasai wanagawa ubingwa kirahisi
 
Hayo ni magenge ya vijana wahuni, wanaopatikana kwenye baadhi ya sehemu huko Arusha.

Sio wote, usitujumuishe.

Lafudhi yao ndo imewapa umaarufu mnawaona wao tu wakati vijana wa namna hiyo wanapatikana kila mahali.
 
Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.

Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.

Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.

Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.

Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.

Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali( mirathi) wapate hela za starehe.

Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.

Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.

Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.

Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.

Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.

Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
Ni ngumu mtu kuamini haya unasema ila akienda the hub au aces kwa usiku mmoja atajionea live kabisa kwa picha angavu
 
Mkuu ukweli ndo huo kipindi nikiwa manyara vijana waarusha walikuwa wanatambiana kuwa mi shangazi
pia swala la kukodiwa kwenda kufyeka na kuzibua mitaro ni kawaida sana.

wanaopinga jua ni wale wale
Asante kwa taarifa aisee.
Yaani nawashangaa wanaobisha.

Imagine mtu anatika arusha hadi manyara kufanya kazi ya kuzibua ili alipwe.
 
Kwa hiyo hakuna wanawake. Ina maana Wanaume wanaoana wenyewe kwa wenyewe.

Ulivyo una akili Huwezi elewi, vitabu vyote vya dini vina Amini:

1. Ukiongelea kazi, unaongelea wanaume, wanawake are considered Kama walezi!

2. Wanawake hawajehasahiwa kwenye kazi za uzalishaji Mali……

Huu upumbavu wenu ndo mnafanya mnachapiwa wake zenu kila siku kwa Sababu mmewafanya kama wazalishaji Mali kama nyinyi kinyume na mpango wa Mungu wa asili!

1. Eti Dume kabisa anafanya Mia budget mshahara wa mke, wanaweka hela Mezani.

Nguvu ya mwanaume iko maintained pale ambapo anaonekana provider na kwenye nafasi yake!

Tukisema Arusha kuna wanaume, haina maana Hakuna wanawake, haya maua yetu yapo……

Ila uzalishaji ni kwa Madume, yake madume yenu pale kinondoni yana maana gani?
 
Back
Top Bottom