Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

Looh!
Kila kukicha matatizo Mapya yanaibuka.
 
Duuh
 
Ni kweli kabisa wamekuwa kama waswahili, wazaramu wa miaka ya 198 0 hapa Dsm. Wanaishia kutoboa eksozi za pikipiki na kuvuta mabangi tu na kazi hawataki kufanya.Miaka ya nyuma 19.. vijana wa Arusha walikuwa wakisifka kwa kupambana na maisha , wagumu, nk sio hawa wa leo wanapaka hadi lips shine na kuchonga kope
 
HIi balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…