Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Kivuko cha wapi kigamboni, kamanga au busisi mbona taarifa yako haileweki,tambua jamii forum
ni jukwaa la nchi nzima.
wewe mwanaccm Soma kichwa Cha habari kwanza hujachangia ,sawa mwanalumumba
 
Ile Tanzanite Bridge [emoji563] ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana? [emoji848]

Halafu meli ziingieje?
 
yah! I hope tulikuwa wote siku ya ijumaa tar 04/03 jioni hivi na palikuwa na gari chache sana... ila watu wanasubiri mda mrefu inapelekea kujaa sanaaa...
 
Ile Tanzanite Bridge [emoji563] ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana? [emoji848]
ndio maana wakaweka kule nyerere brig kutokana na bandari ili meli kubwa zipite bila shida....
 
Na huu mfumo wa N-Card kuwa wa lazima tangu tar 01/03/2022 kwakweli si rafiki kwa wale wanaotumia kivuko mara moja moja.
 
Mkapa-mv bukoba
Kikwete- mv sijui nn
Magufuli- mv sijui kitu gan
Samia- ..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…