joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Zile meli za mafuta na mizigo zingepita vipi?Ile Tanzanite Bridge [emoji563] ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana? [emoji848]
Pole sanaSio kwa pale, ushawahi kuona meli zinazopita pale au uku Rubondo huko
Kwahio dunia nzima hakuna daraja ambakoe meli zinapita chini au linafunguka kupisha meli? Tumia simu yako vizuri.Hebu tuelezee pale daraja ungewekaje mkuu
Achana na washamba hao, hata Nyerere na Tanzanite bridges hawakujua kama vinaweza kujengwa.Kwahio dunia nzima hakuna daraja ambakoe meli zinapita chini au linafunguka kupisha meli? Tumia simu yako vizuri.
Alinunua mv Bagamoyo. Fast ferry to Bagamoyo inayotumia masaa matano Dar/BmoyoKwenye vivuko alifanyaje?
Jioni ya.siku hiyo pia nilikuwepo ila funika bovu ni tarehe 7 jioni tulijaa hadi pembezoni mwa gati.yah! I hope tulikuwa wote siku ya ijumaa tar 04/03 jioni hivi na palikuwa na gari chache sana... ila watu wanasubiri mda mrefu inapelekea kujaa sanaaa...
Hamjui ni lango la meli lileKweliiiiiiiiiiiii
Sababu kubwa ni ajira za kudumuNa Sasa hivi wameweka mfumo wa N-card unaoziba mirija yao ya kula.
Haichukui Muda hii mifumo lazima waihujumu.
Kama ilivyokuwa kwenye mwendo kasi.
NCard ni muhimu sababu hizo Card zitakuja tumika kwenye kila kitu, ni swala la muda tuNa huu mfumo wa N-Card kuwa wa lazima tangu tar 01/03/2022 kwakweli si rafiki kwa wale wanaotumia kivuko mara moja moja.
Mama anasemaje juu ya hili au mpaka amuulize rais wa nchi (Kikwete) ampe mwongozo juu ya hili?Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida.
Sijui kivuko ni kibovu ama vipi.
Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi.
Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida.
Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli.
Wasipochukua hatua kwa siku hizi ambapo vivuko ni viwili tu, lolote linaweza kutokea hasa nyakati za Asubuhi na Jioni.
Nawasilisha
Sio mchezo.Mama anasemaje juu ya hili au mpaka amuulize rais wa nchi (Kikwete) ampe mwongozo juu ya hili?
Ilifanyaje?Waliovuka mchana huu poleni kwa Majanga.
Mv Magogoni ni Shida kwa kweli.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dubuwasha leo Lilifeli likashindwa kuegesha so likaegesha in opposite way!!Ilifanyaje?
Maana nilitaka nivuke hapo feri nikaghairi nikapita darajani kumbe kuna jambo nimeepushwa [emoji120]