Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Ile Tanzanite Bridge [emoji563] ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana? [emoji848]
Pale ni mlango bahari inatakiwa ngoma inayo achama na kufunga kuruhusu Meli...Daraja kama crane hivi.

Nadhani ndio maana hilo lililopo hawakuweza kulijengea hapo.
 
Sijajua physics yake ila kama chombo kikijaa kinazama au kupinduka sio kushindwa kwenda hata kuzunguka kingezunguka.. Injini haina mafuta
 
Mkuu unasema Songoro marine ni ya uholanzi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chai hiii
 
Madai yako haya yotr yatafanyiwa Kazi pale tu tukipinduka nayo, tukizama na Kufa.
 
amkeni amkeni hapo kuna kamchezo ka kupiga pesa ndefu baina ya songoro marine na wahusika. meli inaweza kuwa nzima wakaifanya mbovu ikapelekwa huko songoro jamaa wakapiga zao. kama vile umeme tunazimiwa tunaambiwa kuna matengenezo eti eti jpm alikuwa hazifanyii service kumbe upigaji
 

watanzania acheni ushamba. dubai wamejenga daraja na meli zinapita tena meli kila mara zinapita daraja linafunguka na kupisha meli na kujifunga. tena sio moja zipo mbili ya tatu daraja chini ya maji na meli zinapita juu
 
Pale kuna vile viboti vya wavuvi ...ni jero tu...ila kupanda bila life jacket ni uongo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…