Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Service itakamilika 2025.Tatizo "kiilikuwa akifanyiwi service enzi za mwendazake"
Daraja lipi tena unataka,na lile pale kirasini nikitugani?Wasubiri kivuko for one hour bado tena Roho inakua mkononi kwa Mashaka tele,
Watujengee Daraja jamaniii
Pole mkuu, imekuwaje?
[emoji3][emoji3] Ulikuwepo kwenye sekeseke la jana usiku...[emoji3][emoji3]Nusu tupelekwe bandarini [emoji1]
Hata mm sijawahi kuvutiwa kuishi kigamboni kabisaaaaWeye sema huna hela acha maneno mengi,
Yaani kuliko kuishi Kigamboni bora uishi Bagamoyo???
Muongoza kivuko, Mv Magogoni alikuwa anatupeleka Bandarini!Pole mkuu, imekuwaje?
Hata mimi pia! Ila nimejikuta tu!Hata mm sijawahi kuvutiwa kuishi kigamboni kabisaaaa
Alileta kivuko feki MV Dar es SalaamKwenye vivuko alifanyaje?
Leo 31/03?Poleni wasafiri Kwa changamoto ndogo ndogo, Kivuko kimoja kipo kwenye marekebisho makubwa.
Kwenye speech ya tarehe 31/03/2022 Waziri Mbarawa alipoenda kukagua marekebisho alisema Mh. Raisi alihaidi mwaka huu kutoa pesa za Ujenzi wa kivuko kikubwa Cha Kubeba Abiria 3000.
Tatizo anayepewa tenda ni mmoja hata akitengeneza kukiwa na mapungufu Bado anachukua tenda za marekebisho. Kampuni zinazoweza kujenga vivuko zote za wazawa zipo 3
(1.Songoro Marine Technology ya waholanzi
2. Spabiton Marine Boatyard-Technology ya Israel, Germany na Norway
3.Dar es Salaam Merchant Group -Technology kutoka Korea )
Kila Moja Ina kitu Cha ziada kuzidi mwingine.
Kama tenda ikitangazwa mtu akashinda apewe, na kwenye marekebisho asipewe Tena mjenzi Ili mkandarasi mwingine afanye na kuweka sawa mapungufu.
Hicho kipande nilichonukuu ni kuhusu Mh Makame Mbarawa kuongelea ahadi ya Ujenzi wa kivuko jipya.
Mkuu wa Mikoani mambo mengi hayawahusu. Mpambane wenyewe huko.Kivuko cha wapi kigamboni, kamanga au busisi mbona taarifa yako haileweki,tambua jamii forum
ni jukwaa la nchi nzima.