Kumi haianzi na sifuri inaanza na mojaKwa lipi hasa wasitishe, kitu pekee cha kuwasimamisha CCM ni wananchi kuingia barabarani na kufanya maandamano yatakayo fanikiwa. Na tulivyo Watanzania hiki kitu hakiwezi kutokea. Hizi nyingine zote ni kelele za chura. Whether wapige kampeni au la watashinda.
Kitu ambacho CCM na wana CCM HAWANA ni AHIBU/HAIBU na wapiga kura wa CCM ni vibibi,vibabu,mateja,masikini wa chini kabisa wa kipato pia masikini wa fikira.1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Hivi hapa kati yetu sisi wawili ni nani mwotaji.. Sema kweli yako bila unafique wa kijaniTatizo unaota ndoto na utaota hivyohivyo wenyewe wanazidi kukata mbuga na watashinda hivi hivi mnaona na mtaishia kusema ooo hivi ooh vile
wewe unaota ndoto bro,ccm haiwezi kushindwa bila mikakati maalumu,ccm huwezi kuishinda kwa kuota ndoto na kuandika humu au kwenye mitandaoHivi hapa kati yetu sisi wawili ni nani mwotaji.. Sema kweli yako bila unafique wa kijani
Hayo mengine hujayaona?Ndoto za alinacha
Nenda wewe kaanzishe hiyo zomea zomea
Mbona Kampeni za Chadomo kuteyana zilikumbwa na kashfa za Rushwa?Ndio maana kwenye kampeni hamuwezi kukemea wizi ufisadi na rushwa😂😂😂😂
Hapana wala haina haja ya kumwaga damu ya mtu,ni mipango tu tujifunze nchi nyingine waliwezaje kuviondoa vyama vikongweKuwaondoa CCM madarakani mpaka damu za watu zimwagike kweli kweli nje ya hapo hakuna mtakalofanya.
Licha ya kikwete Rostam Aziz kutumia mabilioni kuzuia utabili wa marehemu Shekhe Yahya usitimie, mungu atatenda yake kwani laana ya kuwatesa lisu chadema inawalemea sanaInavyoendelea kina pigo moja takatifu litakuja mwishoni
Weka ithibati hapa... Hata ukiibeza CDM hapa haiondoi ukweli kwamba mnaiogopa mnoMbona Kampeni za Chadomo kuteyana zilikumbwa na kashfa za Rushwa?
Mimi sio mjinga kwamba eti ni WA kusimuliwa kuhusu matendo ya nyie Wanasiasa,nawajua kweli kweli
Hakuna gaja ya kufanya mikakati ovu bali mikakati thabiti,kuwa na watu sahihi na kuepuka vibaraka kama hawa wa sasa ambao wanawadanganya kuwa ni no reforms no election kumbe wamenunuliwa na ccmMikakati ovu? Huo sio ushindi ni wizi
Polepole ni Msanuaji, ni Fumbua macho,HIo haiwezekani. Polepole snapoteza muda wake . Angechukua fungu lake asherekee na familia yake.
Labds mpka vyama vya upinzani visusie uchaguz vyte vitake reform na wananchi wagome kupiga kura waingie barabarani. Kitu ambacho wabongo hawawezi
Kiufupi Sa100 ndo kapita hivyo
Kwa aliyo yasema yte polepole lengo lake ilikua ni WaTZ kususia uchaguz na kutaka reform ikibid kuingia barabarani kitu ambacho WaTZ hawawez uko si kupotteza muda
Ogopa teknolojia,nikuwekee video wagombea wenu wakilaamika?Weka ithibati hapa... Hata ukiibeza CDM hapa haiondoi ukweli kwamba mnaiogopa mno
Bro mie sijui kama unaijua cdm vizuri lakini cdm ni tawi la ccmWeka ithibati hapa... Hata ukiibeza CDM hapa haiondoi ukweli kwamba mnaiogopa mno