Kwa Uchaguzi upi? Wapi? Lini? Maana Tanzania hakuna uchaguzi kuna Maigizo ya uchaguzi hewa magumashi na vyama pandikizi vyama mchepuko vya ibilisi wa comwewe unaota ndoto bro,ccm haiwezi kushindwa bila mikakati maalumu,ccm huwezi kuishinda kwa kuota ndoto na kuandika humu au kwenye mitandao
πππππZako au za nani! Kama ni za kwako ngoja nimtafute boda akuletee chap
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Hawa ndio Watanzania halisi. Woga ndio sifa yetu !! Kama hata kuzomea tu unaogopa acha wahuni waendelee kufanya yao !!Ndoto za alinacha
Nenda wewe kaanzishe hiyo zomea zomea
chedi avaeHii ndio think tank ya chamsπ What a waste!
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Nilikustahi tuuSasa kuna haja gani ya kuomba ruhusa! Weka hapa tujadiliane ukweli na uongo
NaamKama walivyofanya juzi kaweπ
Huyo mjinga mpishi mzuri kweli kumbe na wewe unamuonaga? πΉπΉHizi mada ni maji marefu kwako, wewe baki na zile za takwimu za kupika
Msimamo wa chama au wa Lisu? πππππSasa hapo si unaona kabisa msimamo wa chama? Ulinistahi kwa lipi sasa hapo? Weka ya ccm inayokemea rushwa kwa ukali kiasi hikiπ€
Tukisema mnalazimisha kupendwa mnajifanya kukataa, kiko wapi?Wewe Kwa akili Yako Kuna mtu wa kukaidi mbele ya hela? Unadhani Huwa wanuja Bure? Wanaonewa hela na misosi.
Kumbe una tatizo kubwa la ufahamuπ€ weka kila unachotaka kuweka.. Hapo aliyeongea ni kiongozi wa chama utamtofautisha vp na chama chakeMsimamo wa chama au wa Lisu? πππππ
Wezi kama nyie wengine mna lipi la kunidanganya? Niongeze nyama?
Katika machawa wapumbavu huyu anashika namba moja..!!24/7 ni matakwimu yasiyo na ithibati wala uhalisia