Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

Mtu mwongo amemwaminisha mtu mjinga. Na yeye akakurupuka kuja JF bila ya kutambua JF wajinga ni wachache sana.
 
Wewe kweli nimeamini ni mtu mwenye upeo mdogo sana.

Suala la DP kuwepo UK, lina uhusiano gani na hoja iliyopo?

Au unadhani na UK, DP wamesaini mkatapa wa kishenzi kama huu?

Sijui tuanzie wapi kukufundisha. Mkataba wa DP na Uingereza ni partnership, siyo kama huu ushenzi ulioletwa kwetu. Usitapetape, jibu hoja ambazo watu wanazitoa siyo kutapatapa hovyo hovyo?
 
Memorandum of understanding(MOU) tiyari, Intergovernmental agreement(IGA) tiyari, Home government agreement(HGA) haijawekwa wazi.
Kwako wewe mkataba ni HGA tu au!?
Huyu BIG SHOW bila shaka ni mtupu sana kichwani. Hakuna anachoelewa. Haelewi maana wala tofauti kati ya MoU, IGA na HGA.
 
Chadema siku zote wanatumika na Pengo.... Pengo akisema Dr Slaa muunge mkono Magufuli....anafanya hivyo mara moja...na sasa Pengo kasema "zuia Samia 2025"...
Chadema nao hasa Dr Slaa ambae bado ana influence...wameingia kazini

Inashangaza sana Dr Slaa anavyojifanya kuwa mchungu na watanzania Leo hii,

Kipindi Cha Magufuli alipingwa hata suala la katiba mpya na kusema Haina umuhim,na kufikia hatua ya kuwaita wapinzani ni wanafiki kisa alilambishwa asali ya ubalozi.

Apige kelele awezavyo,ubalozi hakuna safari hii.
 
Saa 100 avae malapa arudi kwao Zenji
Full stop!

Hiki ndicho mnachojua,kuweka bundle kuja mitandaoni kukashifu uongozi,hata kuongoza family Yako tuh huwez,utabeza vip mamlaka makubwa kama ya Rais.
 
Kuuza Bandari za Tanganyika kumewaunganisha waTanganyika wote wenye akili,wasio jitumbukiza katika box la udini,ukabila,ukanda........
 
We jamaa mdini sana, Sukuma gang haijawahi kuwepo, kama vuguvugu la kumuunga mkono Magufuli ndio Sukuma gang basi wananchi waliowengi ndio Sukuma gang.
 
Hakuna bandari inayouzwa, usikubali kuburuzwa kiboya
Hebu tueleze mkataba unaisha lini na kama muwekezaji asipotimiza malengo ya mkataba mkataba unavunjwaje Bwana Mkubwa mwenye hekima nyingi?
 
Chadema ni upinzani kibogoyo wakiitwa ikulu wanaunga juhudi mkono
inabidi kiundwe chama kipya cha upinzan ila kwa chadema miaka million 10 ccm ataendelea kung'ang'ania madaraka
Labda SUKUMA GANG PARTY.
 
Nahisi hauna akili timamu wewe tabla lasa, Bunge la marekani lilipopiga Kura kuikataa DP world lilikuwa Lina kataa mkataba au kampuni, Dubai ni nchi kwa akili yako!?
Inamaana waarabu walio uza watumwa kama kuku watazuia madawa hapo bandarini kwa vile serikali yako imeshindwa!!!? Mmefilisika hoja.
Akili yako na mifano yako ya bata ina-prove wewe ni tahira wa kiwango cha lami.
Kuongezea hakuna mtu anayehoji utendaji kazi wa hao waarabu hoja ni terms zilizomo kwenye mikataba, kama utendaji kazi wao ni perfect 100% na faida watachukua 100% inatusaidia nini sisi, si Bora tubaki na hicho kidogo na uduni wake.
Mwisho sipo upande wa madhalimu, rostam, dewji wala hao vigogo wa serikali wanaonunua watu ili kupotosha ukweli nipo upande wa wanao amini katika ukweli na haki sio mtu wa kuendeshwa na propaganda natumia vizuri akili yangu kufikiri kwa kina
 
We jamaa mdini sana, Sukuma gang haijawahi kuwepo, kama vuguvugu la kumuunga mkono Magufuli ndio Sukuma gang basi wananchi waliowengi ndio Sukuma gang.

Sasa unamuunga mkono Magufuli yupi na Magufuli keshafariki,

Udini maana yake ni nin kwa mfano.
 
Acha kutujazia Mimavi Yako Uku.
Hao Dpw kuwekeza UK na Us Si Sbb Yakutufanya Sisi Tuingie Mkataba Wakishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…