Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu siyo mara ya kwanza na Wala Tz siyo nchi ya kwanza kuweka uwekezeji katika masuala hayo ya bandari,tatizo lenu ni nin??
Au mkitaka apewe muisrael Taifa teule??Hana pesa sasa kama anayo aje apewe ili mfurahi
Unatetea ni ni??Hakuna bandari inayouzwa, usikubali kuburuzwa kiboya
Mamaangu yupo CHADEMA,hawezi unda chama na mashoga.ntaunda na mamaako
ntaunda nae nikiwa nimempakata atahama tu choqo weweMamaangu yupo CHADEMA,hawezi unda chama na mashoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ndio unayeburuzwa kama zezeta hadi unaanzisha uzi wa kulitetea hilo limajaliwa ongo kuu la taifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaa vibayaa sanaaa. Unatia huruma maskini. uwiiiiihChadema siku zote wanatumika na Pengo.... Pengo akisema Dr Slaa muunge mkono Magufuli....anafanya hivyo mara moja...na sasa Pengo kasema "zuia Samia 2025"...
Chadema nao hasa Dr Slaa ambae bado ana influence...wameingia kazini
Usiende kwenye sweeping statements. Jibu hoja:Hakuna bandari inayouzwa, usikubali kuburuzwa kiboya
Weka mkataba hapa tuusomeHakuna bandari inayouzwa, usikubali kuburuzwa kiboya
Tatizo huko bungeni wamejaa waovu. Hakuna wawakilishi wa kweli wa wananchi.Ndiyo mtoe maoni sasa,pale kwenye kasoro parekebishwe na kwenye kuboresha parekebishwe,
Milango iko wazi na ndiyo maana mkawekwa wazi Kwa mkataba ule kupelekwa Kwa wawakilishi wenu bungeni.
Ok Mkataba ni wa muda gani?Hakuna bandari inayouzwa, usikubali kuburuzwa kiboya
Wewe ndiyo hujitambui kabisa. Watu wanahoji contents za mkataba, wewe unaongelea uarabu!Mwarabu siyo mara ya kwanza na Wala Tanzania siyo nchi ya kwanza kuweka uwekezeji katika masuala hayo ya bandari,tatizo lenu ni nini?
Au mkitaka apewe muisrael Taifa teule? Hana pesa sasa kama anayo aje apewe ili mfurahi
Uko kwa malkia wamesaini mkataba wa milele kwa bandari zote?Shida yenu mnachanganya mambo sana,
Hao DP world wako nchi nyingi huko dunian hata Kwa Malkia Elizabeth wanafanya kaz zao za uwekezaji,ni ufinyu wa fikra kuwaza eti DP world anakuja kwako kueneza dini au Serikali inajihusha nayo Kwa kuwa ni waarabu,kwani Samia ni muarabu??
Mbowe anajua anachokifanya usiburuzwe tuh
Ulitiwa saini na Rais Samia mwezi Octoba 2022. Hujauona mkataba mpaka leo?Kwan mkataba umeshatiwa Saini?
Friends and Enemies,
Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa.
Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna bandari yoyote ndan ya nchi hii itayouzwa na hakuna suala la Wala ajenda ya ukanda,udini na upigaji kama vile ambavyo Mbowe na SUKUMA GANG wanavyoshadadia,
Majaliwa kama mtendaji Mkuu wa serikali amesisitiza kuwa mwananchi ana Haki ya kutoa maoni, ana Haki ya kuwa na hofu, ana Haki ya kushauri na kutoa mapendekezo wapi paboreshwe, lakin siyo sawa kuja na kashfa na kauli za kejeli na uzushi Kwa serikali na Hususan Kwa Rais kama vile ambavyo Mbowe na SUKUMA GANG wanavyoshadadia kuwa Kuna uzanzibar na ukanda.
Nasema SUKUMA GANG na Chadema wameungana katika hili kwani ulifuatilia waziwazi mijadala inayoendelea hivi sasa mitandaoni na vijiweni inaonesha wazi wazi kuwa hawa watu walikuwa wanatafuta ajenda ya kuwaunganisha pamoja na sasa wameipata hii ya bandari.
Kitu tunachotaka kuwaeleza ni kwamba pale bandarini wezi na vibaka wameweka Mizizi mirefu sana na wamekuwa kama corona Kila wakitafutiwa dawa Wana mutate na kuwa virus wapya na kuendelea kuiba na kulitia hasara Taifa hili.
Kuja kwa mwekezaji mpya wa kumreplace TICTS ni njia Bora ya kusambaratisha Moja Kwa Moja vimelea hivyo vya Rushwa,wizi na utendaji hafifu wa bandari.
Chadema na SUKUMA GANG hata mkiungana basi tafuteni hoja za msingi na zenye mashiko, acheni kupotosha wananchi na kutengeneza taharuki,kumbukeni maendeleo hata huyo JPM mnaemkumbuka hivi sasa alishaambiwa kuwa hayana chama.
Umojaparty ni ya wanakijani walioamua kiasi, Chadema haiwezi ungana na majizi au wanaojitenga kinara na majuzi 😀Friends and Enemies,

Viongozi wetu ni low IQ. Hawana hata uwezo wa kujenga au kujibu hoja.Katika mameno yote ya PM hakuna jibu hata moja juu ya maswali yanayoulizwa juu ya mkataba
Hao mkuu hawaaaminiki., tuliambiwa mwenda zake anaendelea na majukum yake kumbe tayari alishakata kamba.Friends and Enemies,
Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa.
Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna bandari yoyote ndan ya nchi hii itayouzwa na hakuna suala la Wala ajenda ya ukanda,udini na upigaji kama vile ambavyo Mbowe na SUKUMA GANG wanavyoshadadia,
Majaliwa kama mtendaji Mkuu wa serikali amesisitiza kuwa mwananchi ana Haki ya kutoa maoni, ana Haki ya kuwa na hofu, ana Haki ya kushauri na kutoa mapendekezo wapi paboreshwe, lakin siyo sawa kuja na kashfa na kauli za kejeli na uzushi Kwa serikali na Hususan Kwa Rais kama vile ambavyo Mbowe na SUKUMA GANG wanavyoshadadia kuwa Kuna uzanzibar na ukanda.
Nasema SUKUMA GANG na Chadema wameungana katika hili kwani ulifuatilia waziwazi mijadala inayoendelea hivi sasa mitandaoni na vijiweni inaonesha wazi wazi kuwa hawa watu walikuwa wanatafuta ajenda ya kuwaunganisha pamoja na sasa wameipata hii ya bandari.
Kitu tunachotaka kuwaeleza ni kwamba pale bandarini wezi na vibaka wameweka Mizizi mirefu sana na wamekuwa kama corona Kila wakitafutiwa dawa Wana mutate na kuwa virus wapya na kuendelea kuiba na kulitia hasara Taifa hili.
Kuja kwa mwekezaji mpya wa kumreplace TICTS ni njia Bora ya kusambaratisha Moja Kwa Moja vimelea hivyo vya Rushwa,wizi na utendaji hafifu wa bandari.
Chadema na SUKUMA GANG hata mkiungana basi tafuteni hoja za msingi na zenye mashiko, acheni kupotosha wananchi na kutengeneza taharuki,kumbukeni maendeleo hata huyo JPM mnaemkumbuka hivi sasa alishaambiwa kuwa hayana chama.
Wewe ndiyo hopeless, mtupu kabisa. MoU umeiona wewe?Nan kakuongopea Hilo??
Kwamba memorandum ndiyo msingi wa mkataba wenyew??