Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
- Thread starter
- #101
Bora umemjibu maana nilimwona punguani tangu mwanzo nikaachana nae.Ukubwa wa nchi ya Congo ni Mara mbili na nusu ya Tanzania na kitu ambacho hujui ni kuwa Congo nzima ni majimbo mawili tu ndio kuna vurugu ...ndani ya drc kuna majimbo watu hawajui kabisa vita inafananaje na hawajawai hata kusikia mlio wa risasi
Kinshasa ni salama kuliko makele kigoma