goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijui na wala haioni.Kwani mamlaka ya teuzi haifahamu hili ?.... anyway wapiga dili wamerudi kazini.
Matusi yanini? Makasiriko yanini? Kwani mi ndo nilimtwaa Magufuli? Haya hayupo we unatakaje? Hoja yangu ni kwamba kuna hasara kutegemea kaliba za watu binafsi.Katiba ni kitu gani wewe taahira?
Kwani yeye aliweza vipi kuwatia adabu kina rugamalila, seth na genge lake? Alitumia katiba ipi?
Kama ni mshamba na muuaji unalialia nini sasa kwamba IPTL inarudi tena?
Inarudi tena kutokea wapi? Nani aliitoa?
Subiri mnyolewe kwa chupa mavi nyie!
Si mnapumua nyie?
Hapa sasa unataka kunikwaza, mambo ya Utopolo yanaingiaje?.Shida ni huyo ajuza hapo jumba jeupe. Mpaka sasa hajui anachokifanya na bado anataka kuendelea 2025. Utopolo mtupu.
Ukisikia Jahazi Imezama Ndiyo Hii Awamu SasaSoon akina Singasinga wataanza michoro yao kama bado.
Huna hojaWewe ndio ulishajifia kimwili na kiakili kabisa
Tatizo si mtu kutumika... Bali ni mfumo ndio unamfanya mtu kutumika...TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Nchi yetu iko salama ni hao TISS. Wewe wa mjini na mimi huku kijiji tunafurahia usalama wa nchi yetu kwa sababu ya hao TISS. Kuna raia wa DRC nimekutana naye juzi anashangaa jinsi Tanzania ilivyo salama. Kama raia wa kigeni wanasifia mimi na wewe ni nani tusiwe na imani na taasisi za dola? #Tuviheshimu vyombo vyetu vya dola.[emoji120][emoji120][emoji120]
Taratibu ndugu yangu! Wewe mwenyewe unafurahia usalama wa nchi yako hadi unanitukana bila sababu. [emoji120][emoji120][emoji120]
Chama kushika hatamu ndio kinaimaliza hili Taifa. Security organs ni muhimu kutengwa na politicians ili wawe huru kutetea Taifa!
Ukubwa wa nchi ya Congo ni Mara mbili na nusu ya Tanzania na kitu ambacho hujui ni kuwa Congo nzima ni majimbo mawili tu ndio kuna vurugu ...ndani ya drc kuna majimbo watu hawajui kabisa vita inafananaje na hawajawai hata kusikia mlio wa risasiNchi yetu iko salama ni hao TISS. Wewe wa mjini na mimi huku kijiji tunafurahia usalama wa nchi yetu kwa sababu ya hao TISS. Kuna raia wa DRC nimekutana naye juzi anashangaa jinsi Tanzania ilivyo salama. Kama raia wa kigeni wanasifia mimi na wewe ni nani tusiwe na imani na taasisi za dola? #Tuviheshimu vyombo vyetu vya dola.[emoji120][emoji120][emoji120]
Taratibu ndugu yangu! Wewe mwenyewe unafurahia usalama wa nchi yako hadi unanitukana bila sababu. [emoji120][emoji120][emoji120]
Sijawahi kuwa chama chochote. Akitokea kiongozi mwenye quality ninazozikubali namuunga mkono. Sasa ukiwa shabiki wa vyama lazima upate tabu na mimi.Mataga umeanza kuukubali ukweli!
'hili nalo mkalitizame'Halafu sisi tukipiga spana wanatula ban... last month nimepigwa ban kisa nimesema 'hili nalo mkalitizame' last two weeks nilipigwa ban kisa nimesema Zitto and his team ni takataka...
Siku hii nchi ikikombolewa kutoka mikononi mwa mafisi ccm TISS inabidi iwe taasisi ya kwanza kufutwa na kusukwa upyaTISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
Hiyo ilionekana siku nyingi. Mikataba kama ya IPTL ndiyo yenye ulaji wa uhakika kuliko njia nyingine za kifsadi. Kumbuka swala la Rugemalira na mamilioni yaliyogawanywa. Hta kama bwawa la Nyerere lingeisha bado ingejengwa hoja kuwa kuna haja ya kuwa na mwekezaji atusaidie kuliendesha ili mradi pesa ipigwe. Au tumekuwa shamba la bibi?Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.