Hili lilishaonekana toka mzee JPM alipofariki. Watu wanahitaji kuwa na ukwasi ilibidi waingize vijana wao kwenye cabinet ili walitekeleze hili na sio ajabu akarudi yule yule singasinga na Rugemalira wake kwa caption ingine toka America au Europe.
Utakuja kusikia Genelectric wana uzoefu wa uzalishaji umeme kwa mafuta mazito marekani kwa miongo 10 au Uholanzi. Wajinga ndio waliwao. Lineup ileile lazima michezo ibaki ileile. We unaona watu wana endesha ma rangerover, watoto wanafanya harusi za mamilioni hela zinatoka kwenye deal kama hizo.