Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

Huo ndio ukweli halisi,Tangu makamba ameingia wizara ya Nishati kazi kubwa wanayoifanya Msiga Gang ni kutengeneza mazingira ya kupata 10- 20% peke yake.

Ndio maana kazi ya kwanza ilikuwa ni kuipangua safu yote ya wataalamu.
Na kumuweka muuza vingamuzi.

Nakubaliana na wewe mkuu.
 
TISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
Swadakta !
 
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.

Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.

Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.

Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.

Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana
giphy.gif
 
TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.

Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Unataka TISS wafanye nini?

Watanzania hatutaki kutimiza wajibu wetu, tunataka watu wengine watufanyie kazi ya kulinda nchi! TISS ni serikali na serikali ndio hiyo inaongozwa na genge la JK, JM, Kinana et al; unadhani kwenye ulaji TISS hawapo?
 
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.

Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.

Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.

Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Brother timu za wapikaji ziko kazini anza kujipanga mapema tu generetor la umeme au solar back up
 
TISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
Nchi yetu iko salama ni hao TISS. Wewe wa mjini na mimi huku kijiji tunafurahia usalama wa nchi yetu kwa sababu ya hao TISS. Kuna raia wa DRC nimekutana naye juzi anashangaa jinsi Tanzania ilivyo salama. Kama raia wa kigeni wanasifia mimi na wewe ni nani tusiwe na imani na taasisi za dola? #Tuviheshimu vyombo vyetu vya dola.🙏🙏🙏
 
Acha upuuzi wewe una usalama kwaajili yanini?
 
Hili lilishaonekana toka mzee JPM alipofariki. Watu wanahitaji kuwa na ukwasi ilibidi waingize vijana wao kwenye cabinet ili walitekeleze hili na sio ajabu akarudi yule yule singasinga na Rugemalira wake kwa caption ingine toka America au Europe.

Utakuja kusikia Genelectric wana uzoefu wa uzalishaji umeme kwa mafuta mazito marekani kwa miongo 10 au Uholanzi. Wajinga ndio waliwao. Lineup ileile lazima michezo ibaki ileile. We unaona watu wana endesha ma rangerover, watoto wanafanya harusi za mamilioni hela zinatoka kwenye deal kama hizo.
 
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.

Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.

Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.

Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Uko sahihi kiongozi wajinga watakubishia.

Tulioko kwenye sekta ya viwanda tunayoshuhudia yanassikitisha.

Umeme unakatika bila mpangilio wowote daily. Mwisho hufikii target ya production.

Ni ngumu Sana wawekezaji smart kuja TZ Kwa umeme huu labda waje with their own source power which is expensive.
 
Back
Top Bottom