Aisee tunafanyaje sasa? Ni hawa hawa..Tiss wepi ndugu hawa hawa wanokimbizana na Chadema au tuwasubiri wengine??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee tunafanyaje sasa? Ni hawa hawa..Tiss wepi ndugu hawa hawa wanokimbizana na Chadema au tuwasubiri wengine??
Lusungo, hii nchi ni ngumu sana.Swali ni je kipindi kifupi tu hapo nyuma hatukua na hii hali... imekuaje? Hawa wezi ni kuwatafuna tuu
Kijana wa sensa adai pesa za TANESCO? sensa mnafanya watu dhalili kama nyie..Wewe kijana wa sensa, umelipwa pesa zako? Achana na Tanesco dai pesa zako za tanesco
TISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
Je, hawawezi kufanya chochote? Hata ku influence Waziri atolewe tu, washindwe?! Waziri?TISS ipi mkuu?
kule wamejaa vibaraka wa hizi hizi family za wezi.
Suluhisho ni katiba mpya na mifumo imara ya taasisi sio hao matapeli toka CCM!Kabisa!
Dikteta aendelee kuchomwa moto!
Alitunyanyasa sana!
Sukuma gang wanakomeshwa!
Tunapumua!
Alisikia taahira moja akiwa mitaa ya ufipa
Tufanyeje sasa kama wananchi? Chombo gani kinaweza kurekebisha mambo haya....TISS ni jumuiya ya Ccm, sawa na Uwt, Wazazi, etc.
..wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya Ccm na watawala.
..utetezi wa maslahi yetu ungeweza kutoka bungeni, lakini huko nako Ccm wako asilimia 93%.
Hiyo mikataba ilikwisha, halafu huyo mtu atabaki kuwa katili mshamba na muuwaji. Angekua na akili na nia njema angetengeneza nchi yenye katiba bora ambapo hata angeacha kinyago kitini legacy yake ingeishi. Yeye akajiona ni immortal na ujinga wake.Nani alituondoa huko kwenye hiyo mikataba?
Ni yule mshamba wako?
Taratubu dawa itakuingia tu
Nimecheka sana eti anazunguka na mitungi ya Taifa Gas kusistiza matumizi ya gas majumbani? Why asizunguke na Orxy, Total etc....Bora angefanya hivyo kwa Kampuni ambazo zina ubia na serikali instead amefanya hivyo kwa kampuni zenye ubia nae. Aibu sana hii....Huo ndio ukweli halisi,Tangu makamba ameingia wizara ya Nishati kazi kubwa wanayoifanya Msiga Gang ni kutengeneza mazingira ya kupata 10- 20% peke yake.
Ndio maana kazi ya kwanza ilikuwa ni kuipangua safu yote ya wataalamu.
Duh !!Yule mshamba amefariki acha sisi watoto wa mjini tule nchi uku wananchi wapumbavu wakitupigia makofi
Kwa hiyo kama maji yamekauka kwenye mabwawa ulitaka serikali iache watu wasipate umeme Kisa umeme huo utakuwa ni WA mafuta?Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Kuna swali wajinga wanauliza... je kwa miaka mitano hakukua na ukame? Kwa miaka mitano mambo ya migao ya enzi ya JK ilifutika shida imekua nini? Unajua faida au madili yanavyolipa kwenye umeme wa mafuta mazito?Kwa hiyo kama maji yamekauka kwenye mabwawa ulitaka serikali iache watu wasipate umeme Kisa umeme huo utakuwa ni WA mafuta?
Upumbavu wenu huu ndio mlifanya mwendazake akaua Mradi wa gas na kukumbatia Bwawa ambalo hatuna pesa Wala deadline ya lini litaisha na ambalo ni prone na climate change..
Kiufupi tulikuwa na Rais mpuuzi asiyeona mbele Wala kuwa na tahadhari.
Katiba ni makaratasi tu,Suluhisho ni katiba mpya na mifumo imara ya taasisi sio hao matapeli toka CCM!
Hatutaki kuweka rehani uongozi kwa kaliba za watu bali sheria na katiba bora.
Katiba ni kitu gani wewe taahira?Hiyo mikataba ilikwisha, halafu huyo mtu atabaki kuwa katili mshamba na muuwaji. Angekua na akili na nia njema angetengeneza nchi yenye katiba bora ambapo hata angeacha kinyago kitini legacy yake ingeishi. Yeye akajiona ni immortal na ujinga wake.
Wewe ndio ulishajifia kimwili na kiakili kabisaKwa hiyo kama maji yamekauka kwenye mabwawa ulitaka serikali iache watu wasipate umeme Kisa umeme huo utakuwa ni WA mafuta?
Upumbavu wenu huu ndio mlifanya mwendazake akaua Mradi wa gas na kukumbatia Bwawa ambalo hatuna pesa Wala deadline ya lini litaisha na ambalo ni prone na climate change..
Kiufupi tulikuwa na Rais mpuuzi asiyeona mbele Wala kuwa na tahadhari.
Kwani mamlaka ya teuzi haifahamu hili ?.... anyway wapiga dili wamerudi kazini.TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.