Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

Bora umemjibu maana nilimwona punguani tangu mwanzo nikaachana nae.
 
Tanzania hakujatokea ukame wa kusema tunaanza mgao. Hawa fisi ni wa kuwamaliza tu.
 
Nchi yetu sasa hivi inapendeza, miaka 6 ya shida sasa inakuja miaka 10 ya neema na kushangilia. Yule Mshamba hayupo sasa hivi ni kubadilika mazima na kujipigia nchi, aaaaaha Tanzania raha sana.

Na ikitokea mshamba mwingine anataka kuingia madarakani hatutakiwi kumuunga mkono kabisa.


Huu ndio wakati wa kujipigia tuu, tusiwe na malalamiko kama tumetokwa na fahamu, wacha nchi iwe huru kwa kila kitu.
 
Ukishangaa ya Mussa kuna ya firauni
 
Suluhisho langu ni Seth arudishe Iptl yake
 
Suluhisho langu ni Seth arudishe Iptl yake
Naona unakazana tu mlisema mlisema mara ooh sijui Shujaa, sasa unatakaje shujaa wako kafa. Yatupasani sisi?
 
Tatizo hakuna mtu wa kufunua haya kama yakitokea...
 
IPTL si ilichukuliwa na serikali baada ya kushindwa kufunga mfumo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia kadri ya mkataba.? Tueleweshane
 
..TISS ni jumuiya ya Ccm, sawa na Uwt, Wazazi, etc.

..wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya Ccm na watawala.

..utetezi wa maslahi yetu ungeweza kutoka bungeni, lakini huko nako Ccm wako asilimia 93%.
Asilimia 99.99999999999999999999999999999 ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…