Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Tuondolee upumbavu wako wa kuambukizwa. Kawadanganye wapumbavu wenzio wa CCM. Mbowe angefanya hivyo CCM kupitia Mahakama zenu za makada wenu za "maelekezo toka juu" angeshahukumiwa kunyongwa!
Wacha kubwata kama Bata anayeharisha, kwani hukumu imetoka? Na je adhabu ya ugaidi kwani ni kunyongwa?

mchillo unakuja hapa umekunywa mapombe ya komoni na ulaka unajiandikia tu Ali mradi
 
Ndoto yako ikitimia Mbowe ndio atakuwa Rais alieingia madarakani kwa mara ya kwanza akiwa Kikongwe zaid


Julius aliingia akiwa na 40
Ally aliingia akiwa na 60
Benja akiwa na 58

Jakaya akiwa na 55
John akiwa na 56
Samia akiwa na 61
Kwa muonekano ule wa samia...kweli age is just a number.
 
wewe unaumwa, ndoto za mchana hizo bila TUME HURU YA UCHAGUZI na KATIBA MPYA ccm haiwezi kutoka madarakani kamwe mpaka Yesu anarudi, upo apo.
 
Hapana!hebu angalia chain ya uongozi ya CHADEMA kuna Mwenyekiti mchaga,Katibu Msukuma !!sasa hapo uchaga unatoka wapi hapo???
 
Uwezekano wa Mbowe kuwa Rais ni mkubwa sana
 
Sipendi kuwabagua watu kabisa ila ndugu zetu wachaga na wahaya aisee.
Mara paaap ndo mchaga rais? hiyo kazi mtaiona[emoji1787][emoji1787]

Maneno yako yapo kibaguzi sana, hizo ni tabia za mtu au watu wa jamii fulani. Kuna wakati sokoine aliwahi kuwa waziri mkuu na yeye alikuwa anatokea jamii ya kimaasai. Je kutokana na jamii anayotoka ndio tuje na conclusion ya kwamba ataendeleza ukatili wakijinsia thidi ya wanawake.

serikali ni mfumo na sio mtu
 
Hizo fikra tunazijua je bila hoja? Chutama mjomba uko uchi!
Unawwza ukawazidi watu kwa hoja kwa kuwa no hodari tu wa mdahalo lakini so lazima uwe sahihi,kambona aliona wapi ujamaa utakapotupeleka,na ndipo tulipofika,lakini alishindwa hoja na baba wa taifa,Ila alikua sahihi na mzee alipotoka
 
Unawwza ukawazidi watu kwa hoja kwa kuwa no hodari tu wa mdahalo lakini so lazima uwe sahihi,kambona aliona wapi ujamaa utakapotupeleka,na ndipo tulipofika,lakini alishindwa hoja na baba wa taifa,Ila alikua sahihi na mzee alipotoka

Kwamba una nondo matata sana kichwani lakini *presentation zero" na mtihani ni "oral?"

Si ndiyo umekwisha feli sasa 😁😁.

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…