The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hii kasi ya uongozi wa CHADEMA kupongeza na kuunga mkono uongozi wa Mama tangu Taifa hadi huku mashinani, ipo kimkakati sana.
Inavyoonekana kuna namna CHADEMA wamevutiwa sana na utendaji wa Mama kwa hivyo wameona hakuna sababu ya kulumbana naye isipokuwa kumuunga mkono.
CHADEMA ninayoifahamu ya tangia siku za Mkapa haikuwahi kuwa na mtazamo laini kuelekea CCM kama ilivyo leo.
Kwa kuunganisha dot tu utajua kwamba uchaguzi wa 2025 kama CCM wakimsimamisha mama CHADEMA watampigia kampeni.
Na Kwa jinsi hiyo hakuna shaka tukaona wakiachiana hata majimbo.
Kama tukifanikiwa kufikia huko itakuwa mafanikio makubwa sana ya kisiasa maana sijaona popote duniani chama pinzani kinaunga mkono chama tawala Kwa kiwango hiki.