Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

Binadamu msio na jema nyie!. Kumbe we ni mmoja wa wahafidhina mliotajwa katika hotuba ya Rais Samia. We ulitaka iweje, kwa mfano?
Ni muhimu chadema ingebaki na misimamo ya kuikosoa ccm kwa hivi sasa hatutapata sauti mbdala
 
Unaitaje ndoto za mchana ndugu yangu au ninyi ndio ccm wafia chama?
Sasa utaungana na watu wasiotaka Muungano? BAVICHA walopinga sana mama kuwa mgeni rasmi katika shughuli za bawacha, Leo wanatoa picha akiwa na Mbowe na kudai hizo picha ataenda kuziombea mikopo! Masimango hayo nani yuko tayari kuyavumilia?
 
Tukiwa secondary school advance level shule Moja mashuhuli ya vipaji maalum
Contestal mmoja wa nafasi ya head of prifect nilimuuliza "IN YOU I BELIEVE, IN YOU I DOUBT??🧐 CAN YOU ELABORATE THAT EMBARGO???
Hiyo ilikuwa "shule ya vipaji" vya aina gani mkuu 'am 4 real'?

Kama ni kweli ilikuwa ni shule ya vipaji, tena umesema "advance(d) level", basi kama shule zetu zipo hivi sioni matumaini yoyote sisi kama taifa kutoboa.
 
Hii kasi ya uongozi wa CHADEMA kupongeza na kuunga mkono uongozi wa Mama tangu Taifa hadi huku mashinani, ipo kimkakati sana.

Inavyoonekana kuna namna CHADEMA wamevutiwa sana na utendaji wa Mama kwa hivyo wameona hakuna sababu ya kulumbana naye isipokuwa kumuunga mkono.

CHADEMA ninayoifahamu ya tangia siku za Mkapa haikuwahi kuwa na mtazamo laini kuelekea CCM kama ilivyo leo.

Kwa kuunganisha dot tu utajua kwamba uchaguzi wa 2025 kama CCM wakimsimamisha mama CHADEMA watampigia kampeni.

Na Kwa jinsi hiyo hakuna shaka tukaona wakiachiana hata majimbo.

Kama tukifanikiwa kufikia huko itakuwa mafanikio makubwa sana ya kisiasa maana sijaona popote duniani chama pinzani kinaunga mkono chama tawala Kwa kiwango hiki.
Mama alisema siasa ni mchezo na huu mchezo inaonekana anajua kikamilifu na anaucheza kwa akili sana tangu Tanzania ipate uhuru hatukuwai kuona Rais anakua mgeni rasmi kwenye jukwaa la upinzani lakini mama ameweza kwenda na hii imeongeza postive nyingi na imekua story kubwa inayoongelewa duniani
 
Ni muhimu chadema ingebaki na misimamo ya kuikosoa ccm kwa hivi sasa hatutapata sauti mbdala
Mama hajakataa kukosolewa pale panapohitaji kukosolewa lakini hawawezi ukosoa kama hakuna cha kukosoa upinzani sio kupinga kila kitu
 
Ndivyo watu wa "vipaji" mlivyo hivi? Uchizi nao ni vipaji, najuwa!
Umeacha kujadili mada ya mleta thread unaanza kuifuatilia watu "Vipaji" ujinga ni mzigo

image1.jpeg


A drowning Man, is a drowning Man, “You can't teach him to swim"
Sitegemei kujibizana tena na wewe... Mr.Drowning
 
Umeacha kujadili mada ya mleta thread unaanza kuifuatilia watu "Vipaji" ujinga ni mzigo

View attachment 2546214

A drowning Man, is a drowning Man, “You can't teach him to swim"
Sitegemei kujibizana tena na wewe... Mr.Drowning
Yaani mtu kama wewe unalilia kweli nipoteze muda wangu kuendelea kujibishana nawe? Si huu ndio uchizi wenyewe?
 
Back
Top Bottom