Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

Palipo na udhia, penyeza rupia.

Mama kajua Mchaga asili, mpatie buyu la asali.

Kwisha habari yao. 😂
Pole sukuma gang utazidi kuumia kwa chuki. Hukutegemea Mbowe anaweza itwa ikulu na kusikilizwa madai yake ya katiba??

Hizo siasa zimeshapita sahivi mnakosoana bila kutumia bunduki so uzoee tu au uhamie Burundi.
 
Coalition ya aje?
 
CHADEMA watasimamisha mgombea ila dakika za mwisho mwa kampeni atajitoa na kuwaambia wapiga kura wake wampigie Mama Samia. Hiyo ndo mbinu kubwa watakayotumia.
 
HAKUNA serikali ya mseto ya aina hiyo. Someni katiba.

Labda vyeo tu, wahamie CCM wapewe vyeo
 
Sijaona maana yoyote ya huo mstari wa mwisho; lakini ya kuungana CHADEMA ya Mbowe na tawi la CCM la Samia hilo siyo jambo jipya ulilobuni wewe.

Lakini hebu tufikirie hili la pembeni pia; kwamba Samia anakuwa mgombea wa urais kupitia CHADEMA. Unalionaje hilo.

Sitafafanua itakuwaje hivyo, lakini lichukulie hivyo hivyo nilivyoliweka hapo.
 
I thought your avatar name will reflect your thinking ability! A Philosopher! So sad!
What is a philosopher person?
a person who seeks wisdom or enlightenment : scholar, thinker. : a student of philosophy.
Mbona ni wewe unakosea mkuu, yeye hajadai popote kuwa philosopher, yeye ni 'phylosopher'.
 
Watafanya tu kama walivyofanya enzi za ukawa!
Kwenye madaraka ni ngumu.

Labda kuteuana kwenye nafasi za kawaida tu Kama ilivyokuwa inafanyika kwa MBATIA.

Ila kwa nafasi za kikatiba Kama PM, Makamu Rais ni ngumu. Hata Speaker tu ngumu
 
Tuongee ukweli, mtu aliyekutoa gerezani, akakutibu majeraha, akakufutia kesi ulizobambikizwa, ukakufuta machozi na magumu uliyopitia, hivi utamtukana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…