The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli kama yametengenezwa ccm hayakupaswa kusafishiwa chadema yatupwe huko sasa wananchi tunaumia why wasafishiwe chadem?Na chuo cha kutengeneza mafisad na kuyalinda kipo wapi? Elezea yote usiseme nusunusu!!
Utakuwa muunganiko wa kishkaji tu maana chadema wamesalimisha chama kwa mama Kwa gharama ya kumkomoa magufuli. Naona Kwa busara za mama hawezi kuwaacha mikono mitupu Kuna majimbo ataamua kuwazawadia Kwa dhana mbiliKwenye madaraka ni ngumu.
Labda kuteuana kwenye nafasi za kawaida tu Kama ilivyokuwa inafanyika kwa MBATIA.
Ila kwa nafasi za kikatiba Kama PM, Makamu Rais ni ngumu. Hata Speaker tu ngumu
Haya sasa alisharud nyumban so bado unaendelea kulia na hao CDM?Ni kweli kama yametengenezwa ccm hayakupaswa kusafishiwa chadema yatupwe huko sasa wananchi tunaumia why wasafishiwe chadem?
Kwani kapewa ugombea urai?Haya sasa alisharud nyumban so bado unaendelea kulia na hao CDM?
Issue ni kupewa urais au ni mantiki ya ufisadi?Kwani kapewa ugombea urai?
Umesema karudi si alirudi baada ya kusafishiwa chadema baada ya Ile safisha ushansikia mtu anamuongelea?Issue ni kupewa urais au ni mantiki ya ufisadi?
Ndio kazi yao hiyo.Chadema ni brashi la kusafisha MAFISADI na MAJALALA.
nadhani hujamuelewa, kile anachokiwasilisha hapa ndicho pia ninachokiwaza. CHADEMA ya sasa sio tena ile iliyowafanya wananchi wengi kuipenda na kuiamini kuwa ilikuwa mbadala wa CCM katika kushika mamlaka ya kuiongoza nchi yetu.I thought your avatar name will reflect your thinking ability! A Philosopher! So sad!
What is a philosopher person?
a person who seeks wisdom or enlightenment : scholar, thinker. : a student of philosophy.
Huyo sio Philosopher ni boya tuI thought your avatar name will reflect your thinking ability! A Philosopher! So sad!
What is a philosopher person?
a person who seeks wisdom or enlightenment : scholar, thinker. : a student of philosophy.
ndiyo hiyo wrong thinking ya "philosopher" kwa magufuli ingekuwa wewe ungelifanyaje? Unajua philosophy ya peoples power? Nijibu kwanza hilo!nadhani hujamuelewa, kile anachokiwasilisha hapa ndicho pia ninachokiwaza. CHADEMA ya sasa sio tena ile iliyowafanya wananchi wengi kuipenda na kuiamini kuwa ilikuwa mbadala wa CCM katika kushika mamlaka ya kuiongoza nchi yetu.
Hii ya sasa ipo kujipoza na machungu waliyoyapata kutoka katika awamu ya JPM, ni kweli waliteseka sana hilo halina ubishi, ila wengi wa viongozi hao muda umewatupa mkono hivyo walichoamua ni kuendelea kuwepo katika medani za kisiasa za nchi hii kwa namna ambayo hawaathiriki au kudhurika kama hapo awali... hawapo tena kwa ajili ya wananchi bali kwa ajili yao na mitazamo yao binafsi.
Falsafa ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa inaendana msemo kuwa "if you can't win them, join them"... bahati mbaya au nzuri hata sie tulioipenda ile CHADEMA ya kina Dr. Slaa (wa mwanzo), Mbowe (wa mwanzo, aliyewafundisha CCM kutumia chopa), Heche, Wenje, Lema (wa mwanzo), Zitto (wa mwanzo), Lwakatare (wa mwanzo), Mnyika(wa mwanzo), Halima na Esta (wa mwanzo) tulishawatangulia kwenda CCM kwa kuwa upinzani hauna mbinu sahihi za kufanikisha kile wanachokihubiri majukwaani.
Pengine CHADEMA ingeimarika kungekuwa na mabadiliko ya uongozi. Jambo ambalo halionekani kabisa kama litawezekana kwa siku za karibuni. Viongozi wa upinzani wanapenda wafe na vyama vyao.
swali lako haliko wazi ila na kuhusu people's power ni kweli ni falsafa nzuri ikiwa na watu sahihi wa kuisimamia. Viongozi wa CHADEMA (wale waliokuwa wakiibua kashfa ufisadi dhidi wa serikali kiasi cha kusababisha kujiuzulu kwa waziri mkuu) hatunao tena kiuhalisia. Wamebaki watu tu waliokatishwa tamaa na ama mfumo wa siasa za Afrika kwa maana ya Tanzania kwenyewe au watanzania wenyewe kwa kutowaunga mkono katika juhudi zao za kupambania maslahi ya wananchindiyo hiyo wrong thinking ya "philosopher" kwa magufuli ingekuwa wewe ungelifanyaje? Unajua philosophy ya peoples power? Nijibu kwanza hilo!
Ujumbe umetumwa kwa Wahafidhina wa CCM loud n clear๐๐๐๐
View attachment 2542568
Usiwe mwepesi kusahau mkuu maana ni miaka michache tu imepita mrema akiwa upinzani alitangaza wazi kwamba mgombea wa chama chao ni magufuliTatizo lenu mnaangalia tu chadema niambie tangu wkt wa mkapa ni lini serekali ya ccm ilikubali kushirikiana na upinzani na rais kumsifia m/kiti wa upinzani? Hadharani? Unajua maana ya MARIDHIANO? Ni pande mbi kukubaliana kwa usawa
Kama mbowe anamsifia mama na mama pia anamsifia mbowe hayo ndio maridhiano
Kwa nini isiwe, " hii hatua ya mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye pia ni raia namba moja kuamua kukubaki mwaliko wa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la wanawake wa chama kinzani" ipo kati kuirudisha Tanzania moja ya watu wamoja wanaoishi kwa ushirikiano na upendo huku wakiziwe pembeni itikiadi zao za kichama,kimakundi,kidini,kikabila na kisera!!!???Hii kasi ya uongozi wa CHADEMA kupongeza na kuunga mkono uongozi wa Mama tangu Taifa hadi huku mashinani, ipo kimkakati sana.
Inavyoonekana kuna namna CHADEMA wamevutiwa sana na utendaji wa Mama kwa hivyo wameona hakuna sababu ya kulumbana naye isipokuwa kumuunga mkono.
CHADEMA ninayoifahamu ya tangia siku za Mkapa haikuwahi kuwa na mtazamo laini kuelekea CCM kama ilivyo leo.
Kwa kuunganisha dot tu utajua kwamba uchaguzi wa 2025 kama CCM wakimsimamisha mama CHADEMA watampigia kampeni.
Na Kwa jinsi hiyo hakuna shaka tukaona wakiachiana hata majimbo.
Kama tukifanikiwa kufikia huko itakuwa mafanikio makubwa sana ya kisiasa maana sijaona popote duniani chama pinzani kinaunga mkono chama tawala Kwa kiwango hiki.
Sawa "team shetani mwendakuzimu".Palipo na udhia, penyeza rupia.
Mama kajua Mchaga asili, mpatie buyu la asali.
Kwisha habari yao. [emoji23]
Wewe ukienda hospital leo kufanya vipimo na vikakuonyesha kuwa upo vizuri, siku zijazo ukiwa hai hautaenda tena hospitali!!!??nikashangaa kwanini Lisu kaamua kusepa ghafla,kumbe kuna kitu kaona.
kama ni checkup ya majeraha yake na viza si angebakia huko kushughulikia izo mambo ili ikija aje mazima!.