Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

Ukilaza ktk ubora wako
 
Msaga Sumu unataka kumlisha nani hiyo sumu πŸ˜‚
 
Hata wapinzani hawanunuliwi ila wao ndio wanahonga wapokelewe CCM.
 
Bandari imeuzwa kwa nani ?!!

CCM mburuzeni ndg.Lissu mahakamani.....
 
Akili ulimkabidhi nani wewe!?Umewahi kuona viumbe wanaaibika hadi wanapata kifaduro?Haya,endelea na upompompo wako.
 
Kwani CCM si majizi
1. Mfano MRAMBA NA YONA WALIPOIBA PESA ZA WANANCHI WALIKUWA NI CUF?
2. CCM WALIPOIBA PESA ZA EPA WALIKUWA NI CUF?
3. CCM WALIPOIBA PESA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII WALIKUWA NI CUF?

Britanicca
Escrow plus Meremeta
 
Tangu mwaka 96, lissu alianza kushtakiwa, amepigea rasi Zaid ya kumi, wote waliomtesa,,, washakufa
 
Anajiamini! Changamoto tu kwa CCM hakuna Mwendesha Mashitaka wa Serikali atakaye kuwa tayari kupambana na Lissu mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…