Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Wewe humjui LISSU vizuri amesema CCM hajasema CHAMA CHA MAPINDUZI ,Mahakamani kirefu cha CCM kitabadilishwa na kuwa CHAMA CHA MBUZI , hajasema Mama SAMIA amesema Mama ABDUL
 
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Na mtego huo hatatutauingia kamweeeeeeee…in kabudi voice 😀😀😀
 
Huu muda uliyo tumia kuandika pumba hapa ungetumia kujifunza mwandiko ungefika mbali sana pia bado hujachelewa
 
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
ccm haiwezi kwenda mahakamani!
 
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Bora usingeandika hii kitu!
 
IMG-20240820-WA0029 (1).jpg
 
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
1724262442788.png
 
Watamlipa wao.
Aliyekuwa na nia hiyo alijaribu mara kadhaa ikashindikana,mbadala wake ikawa ni zile risasi 16 napo IKASHINDIKANA.
 
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha nchi hii"
Kwa uchafuzi huu usio na kifani na madhara yake yasiyorekebishika sidhani kama CCM watakubali hili suala lipite juu juu.
Mama Abdul huyuhuyu anayesemwa na Lissu ameua nepotism ambayo ilikuwa Sugu nchi hii. Amemchukua mtu anayetoka familia maskini pale Mkuranga ambaye hana connection yoyote CCM na serikalini na kumpa uwaziri wa Tamisemi.
Amewajengea wamasai nyumba za kisasa hapo Tanga, pia wale walioamua kubaki kwa hiari yao wamepewa miundombinu yote muhimu hukohuko Ngorongoro. Leo hii huu upendo Lissu anaupa jina la udalali na wizi.
CCM tuhakikishe tunampeleka mahakamani na kuchukua kila senti yake ili kuwa funzo kwa wengine.
Mbona bado hamjafungua, mnasubiriwa kwa hamu huku Mahakamani.
 
Back
Top Bottom