Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili za lolote kutokea katika Uchaguzi wa Mwaka huu

Pole sana kwa kuona mambo kwa jicho la ukabila badala ya kutazama jambo husika kwa mapana na marefu yake.
 
FOMU MOJA TU YA URAIS NDANI YA CCM INAKWENDA KUIPASUA CCM
 
Mkuu pole, kama upo Tz safiri toka Mtwara to Bukoba au Mbeya to Arusha then hoji watu juu ya CCM na Dkt Magufuli, then tupe mrejesho.

Toka mwaka jana mpaka mwezi uliopita nimetembelea mikoa mitano kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kibiashara, msiba na kikazi. Mikoa hiyo ni Morogoro, Tanga, Singida, Dodoma na manyara. Huko kote nilitaka kupata mitazamo ya wananchi, ni kweli Magufuli yuko masikioni mwao, lakini ni kwasababu anatangazwa sana. Ila ccm haiko akilini wala mioyoni mwa watu wengi, maana ccm imemezwa na jina Magufuli.

Hivyo ubashiri wangu wakati wa uchaguzi, watu watataka kusikia wapinzani wanasema nini maana wamewamiss. Magufuli atakuwa anarudia nyimbo hizo hizo, na ccm itabidi itumie kivuli zaidi cha jina Magufuli, maana yenyewe imechuja. Kwahiyo kampeni itakuwa dhidi ya walevi wa madaraka na wenye viburi, dhidi ya wanaokandamizwa kutokana na siasa chafu za awamu ya tano.
 
Mbona maandiko mengi yanawachadema humu yanaonesha kama mmeshakubali kushindwa hivi?
 
Hata Gadaff alikuwa na kauli za kiboya kama hizo
Naona mnacoment kinyonge! Au mmeshakubali kushindwa? Jipangeni nafasi bado ipo hadi oktoba mnawezabkufanya jambo mkaambulia japo viti 4 vya ubunge.
 
Jecha anafaa kabisa. Ikiwezekana achukue fomu bara lazima atapindua meza za CCM. Jecha yupo vizuri ila basi tu hapendi kujionesha.
 
Umeandika upupu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…