Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili za lolote kutokea katika Uchaguzi wa Mwaka huu

Mbona maandiko mengi yanawachadema humu yanaonesha kama mmeshakubali kushindwa hivi?

Watashindwa kwani kuna ushindani? Watu wanazungumzia hujuma zaidi kuliko ushindani. Usitake kujifanya kuna ushindani, wakati inafahamika Magufuli sio muumini wa ushindani.
 
07/07/2020.....
....loading

20200622_231640.jpg
 
Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.

Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.

Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.

Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.

Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe.

Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.

Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.

Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
Wakoloni weusi waondoke madarakani,ili tupate Uhuru wetu upya,tuijenge Tanzania yetu na kuipeleka kwenye nafasi yake stahili.Tumedumazwa vya kutosha na kunyimwa haki zetu za msingi hata ya kuchagua viongozi tuwapendao.
 
Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.

Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.

Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.

Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.

Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe.

Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.

Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.

Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee! Mkuu umewaza mbali sana. Kwa taarifa yako Tanzania haijaanza leo kutiliwa mizengwe. Toka enzi ya Mwalim ilikuwa inatiliwa mizengwe na mpaka sasa hao walio jaribu hivyo wameishia kuzimu.

Nikuambie siri moja ambayo wewe huielewi na wengi ambao wanapanga mchezo mchafu kutoka nje nao pia hawaielewi ni kwamba Tanzania tuna wajumbe wa nyumba kumi kumi. Hawa watu unaweza ukawaona kama watu wa kawaida tu ambao wanafanya kazi zao za kawaida kama; kuuza mchicha magengeni, uvuvi wa samaki na ukulima au kufanya biashara, lakini ujue kuwa mda wote wako kazini kuilinda nchi yetu.

Sasa wewe kijana mwenye harufu ya maziwa ya mama ukiona pilika pilika za mitandaoni zinatokea, unafikiri mambo yatakuwa moto moto kuhusu usalama wa nchi yetu, hujui kuwa watu wetu tayari huo mchezo nao wamesha usoma au kuushitukia, lakini wana tulia kimya wakijifanya kama hawajui vile! Ukweli ni kwamba kila kitu wanakijua na wanajua wapi watauzima huo moto. Wewe mwenyewe hapo ulipo serikali inakujua vizuri sana. Usitishike lakini! Ni taarifa tu!

Hao wote mitandaoni ni wapiga kelele tu za mngurumo wa radi wakati radi yenyewe ilisha pita kitambo tayari.

Si ulijionea mwenyewe kile kitendo cha mama mmoja kule Amerika kilicho mtokea, alivyo jaribu kuwahamasisha nyie wakoma wake nchini mwandamane ili eti mumpindue Magufuli? Eti malaya mmoja na anaye jinadi mwenyewe kama mkimbizi wa kisiasa wa nchi atumie mtandao kumpindua Rais Magufuli kirahisi rahisi hivyo! Huyo mwana mama aliota sana njozi za mchana. Walishindwa akina Kambona na wengineo wengi huko nyuma, sembuse mkamba kama yeye ndiyo atuvuruge sisi akili? Sio rahisi!

Tatizo lenu nyie ndama wa leo mnafikiri mkijua kutukana wazee walio staarabika mitandaoni na watu wakawatazama tu, basi mnadhani kuwa mnaakili kubwa sana kuliko sisi wengine wote. Msijidanganye ndugu zangu nyie ni ndama tu na mtabaki kuwa ndama tu mpaka sisi wakongwe tutoke. Msijidanganye kuwaona wengine ni mazezeta, mtajiharibia maisha yenu bure!

Mkuu nakuomba utambue kuwa Tanzania ni nchi kubwa sana na ina watu wengi wenye shughuli tofauti. Tanzania ina walinzi wengi karibu kila kona na sio tu nchini mpaka nje ya nchi wako vile vile na ambao wamesoma vile vile.

Mimi namshangaa sana mtu kama Tundu Lissu ambaye anaishi ughaibuni anapiga kelele za kuipaka serikali yetu matope yasiyo stahili, akifikiri kuwa yuko kwenye nchi salama sana. Nimtaarifu tu ndugu yangu Lissu, huko aliko ajijue kuwa hayuko salama kama yeye anavyo fikiria, ila ningemwomba aache tabia yake ya uongo wake, haumsaidii kitu na anajidhalilisha tu mwenyewe. Tanzania hawezi akaibadilisha kwa harakati za ukombozi uhuru, Tanzania itabadilika kwa new ideas na innovation. Serikali ya Magufuli na Magufuli mwenyewe yuko katika harakati hizo kwa new ideas and innovation kwa kutumia sayansi.

Magufuli na serikali yake haikuwa na wala haina mpango wowote ule wa kumdhuru yeye hata mara moja. Kwa serikali yeyote ile duniani ambayo inadhamira ya kumdhuru raia wake, kuwa ughaibuni hiyo sio issue kabisa, ni swala la Technicality. Serikali zetu zote zilizo pita mpaka hii ya sasa hazikuwa na wala hazina tabia wala dhamira ya kuwadhuru raia wake. Why should they do that for? Serikali zetu zote zina lengo moja tu la kudunisha amani na umoja wetu kwa maslahi mapana ya watanzania. Na sio kingine!

Mimi nakuambia na nina kuhakikishia kuwa hakuna mtu atakaye ichezea Tanzania, sio Zitto Kabwe wala Malim sefu wala Tundu Lissu. Wazalendo wa nchi hii tuko imara kuipigania nchi yetu na Rais wetu kwa gharama zote. Kama swala hapa ni akili basi nasi tunazo na kama usomi na sisi pia tumesoma vile vile na maarifa vitendo ya kuilinda nchi yetu tunayo vilevile.

Hatubabaishwi na makachelo kama nyinyi na wala hao wakoma wenu wanao watumia. Kama hao mabeberu wenu wanafikiri wakitumia hela zao kuwanunua nyinyi ndiyo wamesha winn kila kitu, basi mjue kuwa wenye nchi halisi hawauziki na wala hatuna tamaa za maisha kama nyie wakoma mnaonuka maziwa ya mama mkicheua. Na jiangalieni sana msije na nyie mkajiingiza katika matatizo msiyo yajua chanzo chake wakati bado mna maisha mazuri mbele yenu!
 
Mkuu pole, kama upo Tz safiri toka Mtwara to Bukoba au Mbeya to Arusha then hoji watu juu ya CCM na Dkt Magufuli, then tupe mrejesho.
Siyo kweli hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaipenda CCM wanajua zaidi ya miaka 50 sasa Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, vimaendeleo kidogo vinavyofanywa kwa pesa za walipa kodi visiwafanye CCM kujipa ujiko utazani wanatoa pesa zao binafsi mifukoni, maendeleo ni lazima kwa walipa kodi siyo Hisani za CCM.kwanza walipa kodi wengi siyo wanachama wa CCM wala wapenzi wa CCM.
 
Pesa inayotumika kwenye uchaguzi usio huru na haki usio na Tume huru ya uchaguzi ni pesa nyingi sana mara mia ingepelekwa kwenye maendeleo ijenge viwanda waahirishe uchaguzi mpaka itakapoundwa tume huru ya uchaguzi huru na haki
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee! Mkuu umewaza mbali sana. Kwa taarifa yako Tanzania haijaanza leo kutiliwa mizengwe. Toka enzi ya Mwalim ilikuwa inatiliwa mizengwe na mpaka sasa hao walio jaribu hivyo wameishia kuzimu.

Nikuambie siri moja ambayo wewe huielewi na wengi ambao wanapanga mchezo mchafu kutoka nje nao pia hawaielewi ni kwamba Tanzania tuna wajumbe wa nyumba kumi kumi. Hawa watu unaweza ukawaona kama watu wa kawaida tu ambao wanafanya kazi zao za kawaida kama; kuuza mchicha magengeni, uvuvi wa samaki na ukulima au kufanya biashara, lakini ujue kuwa mda wote wako kazini kuilinda nchi yetu.

Sasa wewe kijana mwenye harufu ya maziwa ya mama ukiona pilika pilika za mitandaoni zinatokea, unafikiri mambo yatakuwa moto moto kuhusu usalama wa nchi yetu, hujui kuwa watu wetu tayari huo mchezo nao wamesha usoma au kuushitukia, lakini wana tulia kimya wakijifanya kama hawajui vile! Ukweli ni kwamba kila kitu wanakijua na wanajua wapi watauzima huo moto. Wewe mwenyewe hapo ulipo serikali inakujua vizuri sana. Usitishike lakini! Ni taarifa tu!

Hao wote mitandaoni ni wapiga kelele tu za mngurumo wa radi wakati radi yenyewe ilisha pita kitambo tayari.

Si ulijionea mwenyewe kile kitendo cha mama mmoja kule Amerika kilicho mtokea, alivyo jaribu kuwahamasisha nyie wakoma wake nchini mwandamane ili eti mumpindue Magufuli? Eti malaya mmoja na anaye jinadi mwenyewe kama mkimbizi wa kisiasa wa nchi atumie mtandao kumpindua Rais Magufuli kirahisi rahisi hivyo! Huyo mwana mama aliota sana njozi za mchana. Walishindwa akina Kambona na wengineo wengi huko nyuma, sembuse mkamba kama yeye ndiyo atuvuruge sisi akili? Sio rahisi!

Tatizo lenu nyie ndama wa leo mnafikiri mkijua kutukana wazee walio staarabika mitandaoni na watu wakawatazama tu, basi mnadhani kuwa mnaakili kubwa sana kuliko sisi wengine wote. Msijidanganye ndugu zangu nyie ni ndama tu na mtabaki kuwa ndama tu mpaka sisi wakongwe tutoke. Msijidanganye kuwaona wengine ni mazezeta, mtajiharibia maisha yenu bure!

Mkuu nakuomba utambue kuwa Tanzania ni nchi kubwa sana na ina watu wengi wenye shughuli tofauti. Tanzania ina walinzi wengi karibu kila kona na sio tu nchini mpaka nje ya nchi wako vile vile na ambao wamesoma vile vile.

Mimi namshangaa sana mtu kama Tundu Lissu ambaye anaishi ughaibuni anapiga kelele za kuipaka serikali yetu matope yasiyo stahili, akifikiri kuwa yuko kwenye nchi salama sana. Nimtaarifu tu ndugu yangu Lissu, huko aliko ajijue kuwa hayuko salama kama yeye anavyo fikiria, ila ningemwomba aache tabia yake ya uongo wake, haumsaidii kitu na anajidhalilisha tu mwenyewe. Tanzania hawezi akaibadilisha kwa harakati za ukombozi uhuru, Tanzania itabadilika kwa new ideas na innovation. Serikali ya Magufuli na Magufuli mwenyewe yuko katika harakati hizo kwa new ideas and innovation kwa kutumia sayansi.

Magufuli na serikali yake haikuwa na wala haina mpango wowote ule wa kumdhuru yeye hata mara moja. Kwa serikali yeyote ile duniani ambayo inadhamira ya kumdhuru raia wake, kuwa ughaibuni hiyo sio issue kabisa, ni swala la Technicality. Serikali zetu zote zilizo pita mpaka hii ya sasa hazikuwa na wala hazina tabia wala dhamira ya kuwadhuru raia wake. Why should they do that for? Serikali zetu zote zina lengo moja tu la kudunisha amani na umoja wetu kwa maslahi mapana ya watanzania. Na sio kingine!

Mimi nakuambia na nina kuhakikishia kuwa hakuna mtu atakaye ichezea Tanzania, sio Zitto Kabwe wala Malim sefu wala Tundu Lissu. Wazalendo wa nchi hii tuko imara kuipigania nchi yetu na Rais wetu kwa gharama zote. Kama swala hapa ni akili basi nasi tunazo na kama usomi na sisi pia tumesoma vile vile na maarifa vitendo ya kuilinda nchi yetu tunayo vilevile.

Hatubabaishwi na makachelo kama nyinyi na wala hao wakoma wenu wanao watumia. Kama hao mabeberu wenu wanafikiri wakitumia hela zao kuwanunua nyinyi ndiyo wamesha winn kila kitu, basi mjue kuwa wenye nchi halisi hawauziki na wala hatuna tamaa za maisha kama nyie wakoma mnaonuka maziwa ya mama mkicheua. Na jiangalieni sana msije na nyie mkajiingiza katika matatizo msiyo yajua chanzo chake wakati bado mna maisha mazuri mbele yenu!
Mkuu hili andiko lako limejaa jaziba kuna mambo kama matatu kama sio manne bila sababu
 
Piga kura ondoka kalale. Kama vipi weka bando andamana au linda kura yako kwa keyboard
 
Endelea kuisha kwa kukariri kama wafuasi wa kina Gaddafi na wengineo waliodhani nchi wameidhibiti kwa asilimia 100 kumbe walikuwa wanajidanganya.
 
Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.

Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi, na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.

Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.

Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.

Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe kwa kutegemea Bwana fulani ameamkaje siku hiyo.

Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.

Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.

Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
Upo sahihi sana kaka...usisahau tu Ile kauli ya Ben...lolote laweza kutokea kabla ya uchaguzi[emoji3]
 
Back
Top Bottom