Shibalanga
Senior Member
- Mar 1, 2011
- 178
- 93
Kwa mgeni wa siasa za Tanzania anaweza ukampa hizo bashiri au lamli zako lakini kwa mtu aliyeshuhudia chaguzi za Tanzania kuanzia mwaka 1995 baada ya vyama vingi yaani ni sawa na kusema ni mvinyo ule ule tofauti kifungashio tu, hakuna uchaguzi uliowahi kuwa mgumu kama wa mwaka 1995 kipindi anagombea Mrema na mwingine ni wa 2015 alipogombea Lowassa, wanaojua siasa za Tanzania watakubaliana na mimi, uchaguzi huu ni kutimiza takwa la katiba tu hata wao washindani wanajua hakuna wa kumshinda John Pombe Magufuli, ukweli huu kuna watu wanajisahaulisha tu! Fanyeni utafiti kidogo tu hasa vijijini ambako ndiko watanzania waliko achaneni na taralila za watu wa mjini kwenye mitandao ya kijamii ambao kimsingi kwanza huwa hawajitokezi kujiandikisha na hata siku ya kupiga kura.Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.
Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi, na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.
Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.
Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe kwa kutegemea Bwana fulani ameamkaje siku hiyo.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.
Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.
Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
Sio 98% tu hata kwa 100% maadamu hakuna tume huru ya uchaguzi lakini ikiwepo hata 40% ni shida!Hizo ni hofu na matamanio ya Chadema tu
Uchaguzi utafanyika km kawaida na Magufuli ata score 98%
Maisha ni yale yale
Toka mwaka jana mpaka mwezi uliopita nimetembelea mikoa mitano kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kibiashara, msiba na kikazi. Mikoa hiyo ni Morogoro, Tanga, Singida, Dodoma na manyara. Huko kote nilitaka kupata mitazamo ya wananchi, ni kweli Magufuli yuko masikioni mwao, lakini ni kwasababu anatangazwa sana. Ila ccm haiko akilini wala mioyoni mwa watu wengi, maana ccm imemezwa na jina Magufuli.
Hivyo ubashiri wangu wakati wa uchaguzi, watu watataka kusikia wapinzani wanasema nini maana wamewamiss. Magufuli atakuwa anarudia nyimbo hizo hizo, na ccm itabidi itumie kivuli zaidi cha jina Magufuli, maana yenyewe imechuja. Kwahiyo kampeni itakuwa dhidi ya walevi wa madaraka na wenye viburi, dhidi ya wanaokandamizwa kutokana na siasa chafu za awamu ya tano.
Mkuu, mwaka 2015 Magufuli alipiga kampeni kwa JINA LAKE - sio CCM. Kama jina lake ndilo linalouza kwa wananchi hadi leo hii - kwa picha uliyotoa hapa - basi ndilo litakalotumika kumpa kura nyingi tena - ingawa, kama tunavyojua,ushindi wake ni GUARANTEED bila kujali hesabu ya kura.
Ujue NOBODY REALLY CARES FOR THE SO-CALLED CCM. Hicho ni chombo tu. Hao wanaojiita wanachama wa CCM wanachokitaka hasa ni kuambatana na nguvu ya dola na fursa zake. Hivyo, kama jina la CCM haliuzi, basi watapiga kampeni jina la Magufuli na “mafanikio” yake. Na hilo ndilo “jina kuu” ambalo safari hii, tunaaminishwa, ndilo litakaloamua nani anarudi / ingia bungeni (2021-2025) na nani atatoswa; chama gani cha upinzani kitakuwa kikuu na nani atakuwa KUB.
Huwa nawasifu sana wenye kujadili siasa za Tanzania kama vile tuko kwenye mazingira ya kawaida (rational), kama vile wengi wetu tuna uelewa wa mfumo wa vyama vingi au hata maana halisi ya siasa. Nchi ambayo mtu anasimama na kusema: “maendeleo hayana vyama”; “tusilete siasa kwenye mambo muhimu”; “tuungane, tuweke itikadi zetu pembeni” halafu anashangiliwa sana hata na maprofesa!
Mwaka huu Magufuli anashinda urais kwa asilimia isiyopungua 90 (watch out TWAWEZA) na wagombea wengi wa CCM watashinda kuliko ilivyokuwa 2015. LABDA itokee “force majeure”.
Yepi hayo? Niyafanyie kazi kama sijaeleweka.Mkuu hili andiko lako limejaa jaziba kuna mambo kama matatu kama sio manne bila sababu
[emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana. Nafikiri hiyo ilikuwa tena jaribio lankuni test.Endelea kuisha kwa kukariri kama wafuasi wa kina Gaddafi na wengineo waliodhani nchi wameidhibiti kwa asilimia 100 kumbe walikuwa wanajidanganya.
.........07/07/2020.....
Mkuu kiongonzi kila zama na zama zakeKwa mgeni wa siasa za Tanzania anaweza ukampa hizo bashiri au lamli zako lakini kwa mtu aliyeshuhudia chaguzi za Tanzania kuanzia mwaka 1995 baada ya vyama vingi yaani ni sawa na kusema ni mvinyo ule ule tofauti kifungashio tu, hakuna uchaguzi uliowahi kuwa mgumu kama wa mwaka 1995 kipindi anagombea Mrema na mwingine ni wa 2015 alipogombea Lowassa, wanaojua siasa za Tanzania watakubaliana na mimi, uchaguzi huu ni kutimiza takwa la katiba tu hata wao washindani wanajua hakuna wa kumshinda John Pombe Magufuli, ukweli huu kuna watu wanajisahaulisha tu! Fanyeni utafiti kidogo tu hasa vijijini ambako ndiko watanzania waliko achaneni na taralila za watu wa mjini kwenye mitandao ya kijamii ambao kimsingi kwanza huwa hawajitokezi kujiandikisha na hata siku ya kupiga kura.
Unajua tuna kiongozi asiyekuwa mwelewa wa mambo ameshadanganywa kuwa nguvu ya dola ndio kila kitu, we mwache aone atakavyotolewa nje ya ulingo bila kutegemea.Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.
Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi, na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.
Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.
Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe kwa kutegemea Bwana fulani ameamkaje siku hiyo.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.
Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.
Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
Uko poa mkuu. Umenena. Wanajua fika kuwa hali ndiyo hiyo ila nao wako safi pia katika kuwatia watu matumbo joto.[emoji1][emoji1][emoji1]Mi ningekua nawashauri wanasiasa hasa upinzani ningewashauri waachane na siasa za mitandaoni, huku unaweza aminishwa kuwa unapendwa au unachukiwa ila katika uhalisia ikawa tofauti .
Mitandaoni wamejaa makanjanja tu ambao ukute hata kujiandikisha hawakujiandikisha ila wanakuaminisha watakupigia kura.
Mitandaoni watu wanapeana sapoti za kinafiki ambapo ikija kwenye uhalisia hizo sapoti huzioni. Kama huniamini jaribu kuandika mtandaoni kuwa unaumwa au umefiwa utapata pole na condolences nyingi lakini hao hao watu walokupa pole ukikutana nao njian hata hawakuulizii unaendeleaje.
Mitandaoni wamejaa keyboard warriors wengi ambao wanakupa moyo oooh tutakinusha, pata chimbuka na maneno mengi ya kishujaa ila ikifika siku ya siku huwaoni barabarani wakiandana au lah ( Rejea maandamano ya Mange Kimambi)
Kwa kuhitimisha vyama vya siasa na wanaharakati wote waache kutegemea sana mitandao ili kufanikisha mambo yao vinginevyo watajikuta wanakua disappointed kila wakati.
# KURA NI HAKI YAKO, ITUMIE
Hizo ni hofu na matamanio ya Chadema tu
Uchaguzi utafanyika km kawaida na Magufuli ata score 98%
Maisha ni yale yale
Magufuli for life..ushindi wake ni 99%, mengine ni kujipa moyo tu kwenye hamnaHivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.
Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi, na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.
Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.
Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe kwa kutegemea Bwana fulani ameamkaje siku hiyo.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.
Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.
Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
Na iwe hivyo. NIMEIBARIKIHivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.
Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi, na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.
Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.
Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe kwa kutegemea Bwana fulani ameamkaje siku hiyo.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.
Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.
Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
Kama ni mitandaoni basi hondoa hofu mkuu. Kwa maana mara nyingi ukisikiliza ama kusoma mitandaoni utadhani leo hii patachimbika, lakini mwisho wa yote maisha ni yale yale atakae dhulumiwa ama atakae pewa haki yake maisha yanaendelea.Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.
Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma wanayoyaandika,utaona ni kama watu ambao wameamua liwalo na liwe iwapo kuna watu wanapanga au kukusudia kuharibu huu uchaguzi, na kwa mtazamo wangu, naona kabisa wanasiasa hawa wako desparate kwa kiasi kikubwa.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kuweka tofauti zao pembeni na kutengeneza coalition isiyo rasimi ili kupitia coalition hii, wasimame pamoja iwe mvua iwe jua.
Dalili pia zinaonyesha wana taarifa za nini kimepangwa au nini kinaweza kutokea hivyo na wao wanajiandaa kukabiliananazo.
Kingine nacho kiona ni wanasiasa wa chama fulani kikongwe kuungana na hawa wa upande wa pili either kwa uwazi au kwa kuwaunga mkono chini kwa chini, na hali hii inaweza kuwa serious zaidi iwapo mchujo wa wagombea katika chama fulani utafanywa kibabe kwa kutegemea Bwana fulani ameamkaje siku hiyo.
Naziona pia dalili za wanasiasa hawa kunufaika na uungwaji mkono mkubwa kutoka nje iwapo kuna mambo yasiyofaa yatatendeka.
Mtaji wa wanasiasa siku zote ni watu, na mtaji huu safari hii unaundwa na watu ambao kwa namna moja au nyingine, teyari ni wahanga ndani ya miaka hii mitaoni hivyo lolote laweza tokea.
Hivyo,busara ikokesekana,tunaweza shuhudia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia.
Heading mnabadilisha ila nilisha andika toka May2020.Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana.