Kuna kiongozi alipambana kumkomboa mtu mweusi zaidi ya Nyerere?

Kuna kiongozi alipambana kumkomboa mtu mweusi zaidi ya Nyerere?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,188
Reaction score
4,116
Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere?
Hospitali ya Nyerere Angola.
HOo399mWgAE0YdX.jpg
HOo3-mPXYAAcN8b.jpg
HOo3_J3WAAAQ7Uf.jpg
 
Alistaafu nchi ikiwa ya chama kimoja. Kwa wakati ule katiba iliyokuwepo haikuonekana kuwa na tatizo.
Nchi ilikuwa na vyama vingi yeye ndiye akaviondoa miaka ya 1960s.

Katiba imepingwa muda mrefu wewe tu ndiye hujui.

Zaidi, hata kama haikupingwa, mbovu ni mbovu tu si lazima ipingwe ili kuibadili.

Na yeye alijua na kusema ni mbovu, lakini hakuibadili.
 
Back
Top Bottom