Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Nyerere katunyima katiba nzuri mpaka anastaafu.Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere?
Hospitali ya Nyerere Angola.
View attachment 3641561View attachment 3641562View attachment 3641563
Alistaafu nchi ikiwa ya chama kimoja. Kwa wakati ule katiba iliyokuwepo haikuonekana kuwa na tatizo.Nyerere katunyima katiba nzuri mpaka anastaafu.
Nchi ilikuwa na vyama vingi yeye ndiye akaviondoa miaka ya 1960s.Alistaafu nchi ikiwa ya chama kimoja. Kwa wakati ule katiba iliyokuwepo haikuonekana kuwa na tatizo.