Kweli kabisa. Yule jamaa ni tatizo kubwa sana.Ujinga ni nini?
Ujinga ni kuamini mwanasiasa ama chama fulani cha siasa ndicho kimebeba mamlaka ya kukukomboa na kukukwamua hapo ulipokwama kuelekea mafanikio ya kweli.
Kumbuka Politicians are power mongers, na kila mwanasiasa anapambana kutimiza ndoto zake na sio matarajio yako.
Your salvation is your responsibility and under no circumstance somebody else will do on your behalf. Take action
Kweli kabisa. CCM itatoka kwa mapinduzi.CCM inatumia nguvu kubwa kuliko akiri ,ndyo hata ndani ya CCM hawana watu wadhoefu kisiasa,siasa inahitaji mtu mkomavu na anaweza Kuhimili mikiki ,CCM hakuna.zaidi wanategemea majeshi kuwalinda,ndyoo maana hawaoni aibu kuuuw Ili kujimilikisha isivyo halali.
Ukombozi wa nchi ni mambo 2.
Mapinduzi ya kijeshi au mstuni
CCM INAWALINDA RAIA FEKI KULIKO CHOCHOTE.Kuna Siri CCM inaficha watanzania na ambayo itakuja kutuumiza au kuumiza vizazi vijavyo. Kuna kitu CCM inakilinda kwa jasho na damu, ni kitu Gani hiki?. Kwa fikra zangu za kawaida sidhani kama ni madaraka. Kuna kitu Zaidi ya hapo.
CCM wapo tayari kummiminia risasi raia Tena kwenye maeneo ya serikali ya CCM. CCM wapo tayari Kumfukuza Makamu wa Rais kisa tu kahoji kuhusu Katiba mpya. CCM wapo tayari kuua Raia wa Tanzania kisa wanataka mageuzi ya mfumo wa uchaguzi. CCM wapo tayari kubambikiza kesi za uhaini na ugaidi kwa watu wasio na hatia.
Lazima tujiulize Kuna Nini CCM wanakipigania hivi hadi kuona uhai wa watanzania hauna maana?. Jibu ni kwamba CCM wanalinda kitu Zaidi ya madaraka, wanalinda madhabahu yao. Ambapo siku madhabahu hiyo ikiwekwa wazi au ikipungua nguvu, watanzania watashuhudia vitu vya ajabu kiasi kwamba hawataamini wanayoyaona. Mambo ya ajabu yatatokea. Ulishawahi kuuliza kwanini CCM wanahangaika na CHADEMA mpaka wanatumia nguvu za ziada? Umewahi kujiuliza kwanini CCM inahangaika na Lissu? Mpaka kuamua kumpiga risasi na Sasa kesi ya uhaini ili anyongwe?. Jibu ni kwamba wametumwa na madhabahu yao maana inaona ya kesho na imegundua Lissu ana nguvu ambayo isipochungwa itaiathiri hiyo madhabahu huko mbeleni.
Hivyo CCM inaona Bora ilinde madhabahu yake ambayo ndio inaongoza Tanzania kwa Sasa, hata kwa gharama ya kuua watanzania. Maana nguvu ya madhabahu hiyo ya CCM ni kubwa kuliko mauaji wanayofanya. Maana madhabahu yao ikiishiwa nguvu Tanzania haitakalika hata kidogo, Siri nyingi zitakuwa wazi.
Suluhisho liliopo ni kupata madhabahu nyingine safi itakayopambana na madhabahu ya CCM. Kwa sababu madhabahu ya CCM ni chafu yenye Giza madhabahu ya kushindana nayo lazima iwe ni safi na yenye Nuru. Hapo ujanja wa CCM utaisha.
CHADEMA fanyieni kazi hili jambo. Tengenezeni madhabahu ya CHADEMA yenye usafi na Nuru ndipo mtaiweza CCM.
CHADEMA chukueni notes kutoka kwa great thinkerNjia pekee ya kuimaliza CCM ni kutumia mfumo wa Los Pepes!! Unakata kuanzia chini kuja juu,
1. Huko polisi kwanini CHASO inashindwa kujaza wana chadema kwenye recruitment za majeshi?
2. Chadema inashindwa kuanzisha timu ya mpira kuikata nguvu simba na Yanga ambazo ziko wazi kuwa ni CCM? Embu fikiria CEO wa Simba alikua chadema damu ila ilibidi achukue kadi ya CCM ndio apewe hiko cheo? Means simba na yanga ni matawi ya CCM.
3. Chadema ina mawakili kibao tu na inakubalika na TLS je imewezaje ku indoctrinate mawakili na majaji wengi kwa sera za chadema ili waje kushika nafasi za juu za maamuzi mahakamani??
Mifano ni mingi ila inatakiwa nguvu itumike kuikata CCM kuanzia kwenye matawi yake iwe ni media, dini, michezo, wadhamini, mahakama, polisi, Jeshi, TISS, huko tukiweza mbona wanaondoka asubuhi tu.
Sasa hii inahitaji mikakati ya long-shot sio basically mikutano bali board-room negotiations, lobbying, sleeper cells, indoctrination, cult-following, geopolitics n.k
Cc Proved
Ila wengine hawatesi wenzao kama nyie. Mmeua vya kutosha na Bado mnaendelea. Tena mnaua ambapo hakuna threat kabisa.Hata Vatican kwa Papa wana kitu wanakilinda kama ilivyo Tanzania. Na kwa dunia nzima Kuna kitu wanalinda kwa machozi, jasho na damu. CCM haifanyi tofauti.
Wanaamini watatawala kwa miaka mia ijayo.Kumbe una ID mbili?
Ccm wanajua nguvu ya pesa na wanatumia haswa kwa wapinzani... Sema shida nyenzo ccm wanazozitegemea(jeshi,polisi) siku vikiwageuka ,anguko lako litakuwa la kishindo kizito sana japo wenyewe wanaamini haiwezi tokea mpaka Dunia iishe😎🤣
Shida mnaioverate CCM kupitia maelezo. Kama CCM wangekuwa smart kama unavyosema, yasingetokea yaliyotokea Oct 29.Mkuu umesema ukweli mtupu CCM iko mbele sanaaaa ya muda huu ndo ukweli... hili la research nakuunga mkono na kuna mabadiliko makubwa ndani ya chama yanakuja ikiwemo ya kimuundo.
Ukweli ni kwamba hawa jamaa kwa nje ni kama wajinga ila wako smart sana linapokuaja swala la kulinda dola.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na CHADEMA ila wengi hawajui yanayooneka nje sio yanayofanyika ndani.
Hizo akili hazipo ndio maana wamegeukia nguvu na kuua watu.Nina wasiwasi mkuu. Ingekuwa madaraka wangetumia akili Zaidi kuliko nguvu.
Unakuwa unfair kumlinganisha CCM na CHADEMA. CHADEMA ipo uraiani na Haina serikali Wala hajawahi kuwa na serikalini. Pia CCM inahodhi vyombo vyote vya maamuzi. Kuanzia wenyeviti wa mtaa, Halmashauri, bunge na Baraza la Mawaziri. Sasa utawalinganishaje na CHADEMA.Mkuu umesema ukweli mtupu CCM iko mbele sanaaaa ya muda huu ndo ukweli... hili la research nakuunga mkono na kuna mabadiliko makubwa ndani ya chama yanakuja ikiwemo ya kimuundo.
Ukweli ni kwamba hawa jamaa kwa nje ni kama wajinga ila wako smart sana linapokuaja swala la kulinda dola.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na CHADEMA ila wengi hawajui yanayooneka nje sio yanayofanyika ndani.
Siku hiyo kibaraka wao kama ww tutakuf.ra hadi ukate moto dadekIngia huko msituni uone kama utarejea na miguu yako
Ok mkuu. Sawa sawaDawa ni kujiunga nao. Yaani wote tuwe ccm ili wabaki na machawa tu wa kuwatetea.
Kwanini nasema ili kuua mtandao inabidi tuungane nao, ni kwasababu wamefanikiwa kutugawa. Na ujinga ni kwamba watanzania wanashabikia siasa kama mpira wa miguu. Kitu kinachofanya hoja za msingi zionekane dhaifu. Sote tukiwa chama kimoja, tutaongeq lugha moja kiliko hivi walivyotugawa kwa itikadi ya vyama