Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

eti kwa zaidi ya90%..utter nonsense
 
Bila kuingia msituni CCM haita achia madaraka
Tanzania walioweza kuingia msituni ni machifu wa makabila yaliyopambana na wakoloni lakini watanzania wa sasa ni kupiga domo la siasa tu hawana ujasiri wa kuingia msituni. Labda atokee mtu mwenye ufahamu mzuri na mambo ya jeshi, apate ufadhili akodishe jeshi la nje na kuomba kuungwa mkono na watanzania kisha aingie msituni na jeshi hilo ndipo hapo ataweza kumuondoa mkoloni huyu wa sasa
 
Naona umeanza kudanganya watu. Kwa hivyo kile walichofanya CCM kwenye uchaguzi uliokwisha ndio walifundishwa na Russia?. Mchina Hana cha kufundisha maana yeye ni mfumo wa Chama kimoja. Ndio maana nasema unatudanganya. Kwa hivyo utekaji, kukipigisha kura na kubambikiza kesi ndio walifundishwa na Urusi. Basi walitupa pesa zao.

Lissu alishauri tuhairishe uchaguzi mkuu wa 2025 ili tuweke mambo vizuri, ila CCM yenye consultants wa kichina na Urusi ikagoma. Ila majanga yakatokea Sasa hivi wamekalia kuanzisha tume za mchongo ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Kweli kabisa mkuu. Umesema kweli kabisa.
 
IGP mstaafu Siro ,sasa ni Mkuu wa Mkoa.
Ambako Mkuu wa Mkoa ni Mjumbe halali wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa na Mwenyekiti wa kikao hicho Ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa!
Unawezaje kusema CCM ni chama cha siasa???..
 
Na serikali ya ccm ikianguka je, haiwezi kusimama serikali nyingine hata kama siyo ya chama pinzani?🧐
Inaweza kabisa. Ndio maana solution ni kuwa na metal revolution. Unaweka vyama vya upinzani pembeni kabisa.
 
Sio katiba,ulitakiwa kusema,"kijitabu" au "vikaratasi"!
Kwenye maelezo ya Kila mwana CCM,ni marufuki kutaja neno Haki!
Kweli kabisa. Kutaja katiba kumemwondoa madarakani Makamu wa Rais.
 
Kweli kabisa
 
Hivi Mkuu hujaelewa kwa nini piga ua CCM hawakubali kuondoka katika kipindi hiki, na wako tayari hata kuua?

Siri ipo katika kile kitakachotokea Tanzania kuanzia miaka mitano ijayo, wakati nchi itakapoanza kuwa na uchumi wa kutosha kujenga kila barabara zinazounganisha wiaya kwa kiwango cha lami, kutoa elimu bure hadi chuo kikuu, kutoa huduma za afya bure, kuboresa huduma za usafiri nchini, maji nk. Na haya yatatokea si kwa ajili ya sera za chama tawala bali ni kwa neema ambazo Tanzania itajikuta ipo katikati yake. Hizi zinakuja ndani ya miaka mitano hadi kumi ijayo, na yanayokuja haitakuwa kwa bidii ya chama chochote kitakachokuwa madarakani, japo chama kitakachokuwa madarakani kitajisifu kuwa yanatokea kwa sababu ya utawala wao bora ukilinganisha na vyama vingine. CCM wanajua hilo, hawataki haya yanapoanza kutokea wao wawe ndio chama cha upinzani.

Soma hapa chini:

Tanzania: An African economic giant in the next ten years?
Tanzania has a credible opportunity to emerge as one of Africa’s most important economic powers over the next decade, particularly in East and Central Africa. Its combination of mineral wealth, expanding electricity generation, natural gas, strategic ports, railways, and access to the markets of several landlocked countries gives it a particularly strong development platform.

What makes Tanzania's prospects particularly interesting is not any single discovery or project. It is the potential interaction between them.

For example, electricity can power mineral processing; railways can transport processed minerals to ports; ports can serve regional manufacturing and trade; and gas can supply industrial heat, feedstocks and export revenue.

Tanzania's mining base extends beyond gold to include nickel, graphite, rare earth elements, uranium and other strategic minerals. The government is seeking to increase mineral processing, refining and downstream production.

Tanzania's helium resources could become strategically important because helium is used in medical imaging, semiconductor production, scientific research and other specialised industries.

Separately, the proposed offshore LNG development could be transformational. In October 2026, Reuters reported that Tanzania was approaching the finalisation of agreements for a project estimated at US$42 billion.

Tanzania has a potentially powerful geographic position for serving Rwanda, Burundi, Uganda, Zambia, Malawi and eastern parts of the DRC, alongside its large domestic market. Its ports and railways could help make Tanzania a preferred gateway for regional trade, particularly where its combined transport costs and reliability outperform competing routes. The opportunity is not simply to move other countries' cargo. It is to use the traffic to establish regional distribution centres, processing industries, financial services and manufacturing.
 
Wanalinda uovu wao hawana. Kingine
 
Zindiko la damu lazima linywe damu nyingi ili utawala wa awamu Fulani ukubalike kwa Mungu wa ulimwengu!!

Inaonekana kafara aliyoitoa haikutosha kwa hiyo itabidi iwe endelevu!

Andiko Kwa unyenyekevu na upendo ukichangia uchumi kwa taifa!!

Shetani Hana urafiki wa kudumu!

Teka Teka pia ni ishara ya kiongozi aliekata tamaa kuongoza taifa lake coz na eye anawindwa na mizimu au miungu iliyompa kutawala!

Nawaza labda IPO hivyo!
 
Chadema kususia uchaguzi walikuwa wako sawa! Ulikuwa uwe uchaguzi wa serikali dhidi ya chama cha siasa - Chadema.
Bila kuipindu..a hakuna namna iliyobora kuwaondoa madarakani!
Kwa mantiki hiyo, bila kumwagwa dam..u,hakuna Mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…