Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Hakuna lolote. Wangekuwa smart kama usemavyo wangekuwa wanateka wanapoteza na kuwaua watu kiasi hiki??

CCM siyo chama cha siasa wala mali ya wanachama. Bali ni mali ya kundi fulani linaloongozwa na M/K wake taifa.

Hebu fikiria Makamu wa Rais anaweza kudakwa na kufungiwa bandani kama kuku huku Wanaccm wakikaa kimya. Unafikiri wamependa? Ni nguvu aliyonayo Mmiliki wa lile kundi kutokana na kujimilikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Tanzania tuna Mihimili mitatu lkn yote yako chini yake (kajimilikisha indirect)
 
Umeongea ukweli tupu. Ili kuondoa CCM inahitaji strategy Kali sana ya kijeshi. Na pia uungwaji mkono kutoka nchi jirani kama Uganda au Kenya.
 
IGP mstaafu Siro ,sasa ni Mkuu wa Mkoa.
Ambako Mkuu wa Mkoa ni Mjumbe halali wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa na Mwenyekiti wa kikao hicho Ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa!
Unawezaje kusema CCM ni chama cha siasa???..
Kwa kweli inasikitisha sana. Na huyo Sirro Wala hajali.
 
Wewe ndio umeelewa mada yangu kwa undani.
 
Chadema kususia uchaguzi walikuwa wako sawa! Ulikuwa uwe uchaguzi wa serikali dhidi ya chama cha siasa - Chadema.
Bila kuipindu..a hakuna namna iliyobora kuwaondoa madarakani!
Kwa mantiki hiyo, bila kumwagwa dam..u,hakuna Mapinduzi
Kweli kabisa.
 
Viwanja vya serikali walivojimilikisha kama vile CCM Mkwakwani na vingine vingi.
Lkn pia mali walizoiba na kujimilikisha,mikataba ya kifisadi waliyosaini.
 
Huu ndio ukweli ambao watu hawataki kusema au kusikiliza.
 
Dola na Ccm ni pande mbili za shilingi japo shilingi ni Ile Ile tu.
100% True.

1. Mkuu wa mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa.
2. Akimaliza hicho kikao,siri na taarifa zote alizopewa na kupokea,kesho yake,anaitwa, kwenye kikao cha sisiem ,Mjumbe wa Kamati ya siasa ya sisiem ya Mkoa.
Kwa mantiki hiyo kikao cha Kamati ya ulinxi na usalama ya Mkoa na Kamati ya siasa ya sisiem mkoa ni kikao kimoja!
( Ndio tunakosema, Sisiem ni Dola na Dola ni sisiem).
3. Ukienda Ngazi za wilaya ni hivyo hivyo!
 
Ni mikataba mibovu ambayo wameingia kwa makubaliano ya kupata chochote hakuna kingine zaidi ya hapo ndio maana hakuna kitu kinafanyika kuhusu miundombinu ya bara bara au upatikanaji wa maji safi..
 
Kwa damu zilizomwagika na kupoteza roho za watu bila aibu Wala huruma ni lazima nguvu ya kubaki madarakani iongezeke. Kwa ufisadi mkubwa na mikataba mibovu inayopita Mangungo wa Msovero ni lazima nguvu ya kulinda madaraka itumike. Kwa ujumla ni kwamba wanaogopa kulipana kwa visasi na huko tuendako ndiko kubaya zaidi
 
Ok. Nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…