Kweli kabisa mkuu. Maana kwa mauaji waliyofanya lazima wajilinde maana wakitoka watashatakiwa.Kwa damu zilizomwagika na kupoteza roho za watu bila aibu Wala huruma ni lazima nguvu ya kubaki madarakani iongezeke. Kwa ufisadi mkubwa na mikataba mibovu inayopita Mangungo wa Msovero ni lazima nguvu ya kulinda madaraka itumike. Kwa ujumla ni kwamba wanaogopa kulipana kwa visasi na huko tuendako ndiko kubaya zaidi
Hii system ni mbaya sana.100% True.
1. Mkuu wa mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa.
2. Akimaliza hicho kikao,siri na taarifa zote alizopewa na kupokea,kesho yake,anaitwa, kwenye kikao cha sisiem ,Mjumbe wa Kamati ya siasa ya sisiem ya Mkoa.
Kwa mantiki hiyo kikao cha Kamati ya ulinxi na usalama ya Mkoa na Kamati ya siasa ya sisiem mkoa ni kikao kimoja!
( Ndio tunakosema, Sisiem ni Dola na Dola ni sisiem).
3. Ukienda Ngazi za wilaya ni hivyo hivyo!
Kweli kabisa. Wanaogopa Siri itawekwa wazi kuhusu mikataba waliyoingia.Ni mikataba mibovu ambayo wameingia kwa makubaliano ya kupata chochote hakuna kingine zaidi ya hapo ndio maana hakuna kitu kinafanyika kuhusu miundombinu ya bara bara au upatikanaji wa maji safi..
sasa hivi wanatoa darasa kwa wajumbe na kufanya tathimini kwenye kata zao,
Hii CCM ya sasa hivi haina mbinu wala wataalamu wowote,Wanapumulia machine,Walitengeneza fake image ambayo Lisu amekuja kuwa expose vibaya sana,Mbinu zao za Propaganda ni zile zile na wanazirudia kila uchao..Wanamiliki Dola,waongoza kwa kutumia terror + fear,pia Surveillance,Mara Leo wakate kijana Kichwa na kutupa mwili wake ,kesho wateke,ili kutisha watu,Propaganda zao chini ya Propagandist Makonda ni zile zile na za kawaida,hawana jipya,Wamelipia Wataalamu kufanya Image Management ya Samia lakini mbona kila mbinu Watanzania wanaigundua,Sport Washing na maupuuzi mengine..Hakuna lolote. Wangekuwa smart kama usemavyo wangekuwa wanateka wanapoteza na kuwaua watu kiasi hiki??
CCM siyo chama cha siasa wala mali ya wanachama. Bali ni mali ya kundi fulani linaloongozwa na M/K wake taifa.
Hebu fikiria Makamu wa Rais anaweza kudakwa na kufungiwa bandani kama kuku huku Wanaccm wakikaa kimya. Unafikiri wamependa? Ni nguvu aliyonayo Mmiliki wa lile kundi kutokana na kujimilikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Tanzania tuna Mihimili mitatu lkn yote yako chini yake (kajimilikisha indirect)
Nchi ina kila kitu harafu maji tu tatizo achilia mbali umeme na bara bara si wanatupa mali kwa wazungu huko bure kabisa..Kweli kabisa. Wanaogopa Siri itawekwa wazi kuhusu mikataba waliyoingia.
Washaona wabongo wote mafala wamekufa 10,000+ kwa kupigwa risasi wabongo wote mikia wametia mkunduni ndio imeisha hio, kwa hio wanawafanya wanavyotaka.. kuanzia Mkuu wa Gereza na Kaimu Makamu Mkuu wa Gereza alipowekwa kizuizini wote ni CCM, sasa sijui nikwambieje ueleweWakitaka kujimaliza wamnyonge Lissu tu.
Sitaki kukuhoji kwa kina, kwa sababu siku zote najuwa unakosimamia.Suluhisho liliopo ni kupata madhabahu nyingine
Huwezi ua ufalme kwa kumuua mfalme watatawaza nwingine,kikubwa ni kufamya mapinduzi ya mfumo mzima.Lakini kwa ninachojua na Mungu alivyofundi ipo siku atakufa tuuu
Ni kama unawahimiza watimize unalotaka lifanyike!Wakitaka kujimaliza wamnyonge Lissu tu.
A 26-year-old patient presents with an acute, abrupt onset of intense fear and physical discomfort, reaching peak intensity within 10 minutes.Ondoa ujinga wako hapa wewe
Umepotea...Bila kuingia msituni CCM haita achia madaraka
Madaraka yanatoka kwa wananchi, ama wenye Nchi au walio na Nchi.Madaraka ya CCM yanatoka kwa wananchi
Mkuu kiukweli kwa siasa jamaa wako mbele ya muda sanaaExactly... Tena kwa ushirikiano mzito kutoka kwa maswahiba kama Russians na Mchina (na wengine baadhi)... Majamaa wanakalishwa chini kufunzwa na ada wanalipa Namna ya ku maintain control of the state.....Ccm wanajua fika kabisa hawana backup ya Raia wengi huku chini .. hivyo lazima watumie mbinu advanced za kijasusi ....Kuna jambo ningegusia hapa lakini anyway acha nijufunze kunyamaza😎
Jamaa wanakutana na wanachama na kamati za siasa alafu kwa siri sanaaa wanaongea na wazee wenye ushawishi mojamoja.sasa hv kwanza wanatoa semina kwa wapiga kwa wajumbe wao wote, na kufanya tathimini ,nini kimepelekea hali hii, jamaa hawabaahatishi kabisa ktk kutafuta madaraka na ndio maana ukiwazungua wanakumaliza
Kimya kimya wanayajadili waliqnzq nq madodoso mwezi wa 5 sasa wako fieldShida mnaioverate CCM kupitia maelezo. Kama CCM wangekuwa smart kama unavyosema, yasingetokea yaliyotokea Oct 29.
Hahaha kwenye siasa za CCM uchaguzi wa ndani ni kakitu kadogo sanaaa mkuu wala sio kakujadiliUnakuwa unfair kumlinganisha CCM na CHADEMA. CHADEMA ipo uraiani na Haina serikali Wala hajawahi kuwa na serikalini. Pia CCM inahodhi vyombo vyote vya maamuzi. Kuanzia wenyeviti wa mtaa, Halmashauri, bunge na Baraza la Mawaziri. Sasa utawalinganishaje na CHADEMA.
Kwangu CHADEMA ndio wanaakilinna strategy kuliko CCM. Uliona walivyoendesha uchaguzi wao wa ndani. CCM wanaweza kuruhusu demokrasia kama hiyo? Wameweza kuhimili vitisho, mauaji, mateso na manyanyaso ya CCM miaka yote hiyo. CHADEMA is bright than CCM.