Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Naomba kujitenga kuihusisha CHADEMA na Dini.
 
Unajua kufuatilia siasa sio kujua yalipo nje tu na wengi wanaishia yanayojadiliwa nje bila kujua yanayoendelea ndani.... ndo mana kuna watu ukijadili ishu ya viongozi wa vyama vya upinzani kwa uhalisia wake wanakuona muongo.
sawa sawa, mie huwa nakaa kimya , mfn hili nilitaka kuona je humu watu wanajua kuwa jamaa toka mei wako field kimya kimya kwenye angle zote kufanya tathimini, nilipoona umejibu ,nikajua wewe mkali unajua yanayoendelea
 
Intel ya mchina na mrusi ndio inayotegemewa ku run mambo yao kwa asilimia kubwa
 
Viongozi wanampango mkubwa sana wa kugawana maeneo ya jiji la Dar es Salaam, wanaanza na Sinza na wilaya ya Temeke. Ili hili lifanikiwe wanaanza na wale wanaodhani ni wapiga kelele wabaki waoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…