Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Ushuani ipi hio yenye mademu wabovu mzee? Mbona kama maelezo yako contrary
 
Sh Shida ya Nyagi ni uchungu tu. Inazingua hapo tu halafu unaamka mwili umechoka kama umetoka kupigana 😂😂😂!

Pombe ni starehe ila isikutese bana, sasa unaamka kichwa na mwili unauma starehe yake iko wapi?

Uzuri wa lite hulewi ila unakuwa high tu..Kisha ukiamka uko sawa kama ulikuwa unakunywa maji tu.
 
Ukifika home, "dahh nimekunywa maji ya elfu50"[emoji38]
 
Sometimes ni hypes tu na trend.

Wabongo wengi ni wafuasi wa trends.

Kwani ni nini kinafanya mtu atoke Tegeta au Bunju huko afunge safari mpaka Liquid bar Kurasini au 40 40 Tabata kunywa pombe wakati Pombe ni zile zile hata ukinywea ndani.
Wewe sio mnywaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…