Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Wakati mwingine uwa unafikiria mkuu, watu hufuata company na mademu wazuri. Mademu moto wako hizo sehemu ulizotaja, Tegeta, Kurasini, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Mbagala, Mtoni na Uswahilini kote. Ukitaka kucheka na kuchukia mademu fika sehemu za washua kama Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, na nyinginezo uone jinsi watoto wa kishua walivyo na sura za Kitarime au Unyakyusani....utalia. Hii ndiyo sababu ya wazee wa kishua na wenye nazo kukimbilia uswazi kwenye raha za uhakika.
Ushuani ipi hio yenye mademu wabovu mzee? Mbona kama maelezo yako contrary
 
Sh
Kwenu walevi wenzangu.
1. Kwani Lengo la kunywa pombe Ni Nini? Kama Ni kulewa tu nakushauri unywe konyagi kwani kwa sh 20000 tu utakua hoi.
2. Kama Lengo Ni kwenda bar ku admire ma barmaid konyagi itakufaa zaidi hata kudumisha ndoa konyagi is recommended. Sioni sababu mtu anajisifia eti kanywa Serengeti lite kreti halafu zote amezikojoa huko huko bar anarudi nyumbani hajalewa na jogoo kachoka mbaya. Wastage of time, money as well as your power.
Shida ya Nyagi ni uchungu tu. Inazingua hapo tu halafu unaamka mwili umechoka kama umetoka kupigana 😂😂😂!

Pombe ni starehe ila isikutese bana, sasa unaamka kichwa na mwili unauma starehe yake iko wapi?

Uzuri wa lite hulewi ila unakuwa high tu..Kisha ukiamka uko sawa kama ulikuwa unakunywa maji tu.
 
Sh
Shida ya Nyagi ni uchungu tu. Inazingua hapo tu halafu unaamka mwili umechoka kama umetoka kupigana [emoji23][emoji23][emoji23]!

Pombe ni starehe ila isikutese bana, sasa unaamka kichwa na mwili unauma starehe yake iko wapi?

Uzuri wa lite hulewi ila unakuwa high tu..Kisha ukiamka uko sawa kama ulikuwa unakunywa maji tu.
Ukifika home, "dahh nimekunywa maji ya elfu50"[emoji38]
 
Sometimes ni hypes tu na trend.

Wabongo wengi ni wafuasi wa trends.

Kwani ni nini kinafanya mtu atoke Tegeta au Bunju huko afunge safari mpaka Liquid bar Kurasini au 40 40 Tabata kunywa pombe wakati Pombe ni zile zile hata ukinywea ndani.
Wewe sio mnywaji
 
Back
Top Bottom