Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Hennesy vs na Hennessy vsop Bei tofauti.Ukienda kichwa kichwa utauziwa fake na hautajua.
 
no hangover
 
Hahahahah
 
Bwana extrovert: Usijaribu hayna cha maana. Ni janja ya biashara ya kukupotezea pexa zako.
Nakushauri rafikiangu usijaribu kunywa pombe za kijinga kama hizo, ili ulinde heshima yako kwa mungu na sisi tunaekufwata kama "MSTAARAB" wa Jf.
 
Hamna shaka chief, mi sitaijaribu
 
Nika fashion tu kaka! Unakumbuka enzi za Heineken?? Ukionekana unapiga Heineken, unaonekana mtu wa matawi ya juu,kuna watu walikua wanasema hawezi kunywa local beer,zinachafua tumbo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kumbe ni mbwembwe tu zilikuwa, sahivi 40% ya wanywa heineken tunakunywa nao Serengeti premium lite!
 
Labda bei
Kuna sehemu nilienda inauzwa karibu 150K..
Ndo wadada wakinunua wanarusha video hadi Instagram wameikumbatia...

Naona ni namna ya kujiona expensive Kwa ma slay Queen..
Kuna sehemu sijui ni Samaki ama Hyatt inauzwa laki 8..sina kumbukumbu ya sehemu mana ilikua story ya mtu
Na wakileta ni wanaleta wanaiimbia kabisa
Ss sijui ni kweli ama vp

wizi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…