Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Padre hashiki Jembe lakini ana uwezo wa kuwaambia watu wasishike wakakubali.
Unachukulia mchezo mchezo jamaa unasikia anasema"jana ameoneshwa au ameongea na mungu akamwambia chumvi ya misri itawaponya shida na matatizo"Halafu maandiko yana tumika kututisha.
Kuna kanisa nilienda Eti kuna maombi ya 50,000 40.000 30,000 20,000 10,000 5,000. Duh! Nilijiuliza maswali mengi sanaa.
Kama hauamini kwamba utapata ufalme wa Mungu kanisani basi taka sana kuzifahamu kazi za roho mtakatifu. Yesu Kristu Katika mafundisho yake neno kanisa alilitaja mara moja tuu Rejea
Mathayo 16:13-17
Na wakati anaondoka aliwaachiwa mitume kazi ya kufundisha juu ya ufalme wa Mungu kwa msaada wa roho mtakatifu.
Mtakatifu Paulo ndio mwalimu wa mwanzo wa kanisa na mifumo mingi imeasisiwa nayeye jitahidi kumsoma kwa kina na uelewe hoja ya kwanini imempasa kasisi kuishi useja. Ukristo ni kazi tena ni nguvu jibidiishe kujifunza ili kujenga Imani yako juu ya mwamba imara
Ulishaona maiti katupwa kisa alikuwa haendi kutoa sadaka?Ukifa hawakuziki. Hapo ndipo wametushika pabaya
Kanisani tunabananishwa na Sadaka za kufa mtu, Nje ya Kanisa nako Tozo kama, zote, "Ndani Ntiti, Nje Ntiti" 🤣🤣🤣Leo ni Jumapili ya matawi Yesu anaingia Jerusalem, lakini nikitafakari imani yangu ya ufuasi wa kristu napata mashaka makubwa sana.
To declare interest mimi nimezaliwa nimejikuta tu ni mkatoliki kwahiyo nipo hivyo mpaka leo, mahusiano yangu na Mungu naamini ni mazuri kiroho lakini mahudhurio yangu kanisani kwa miaka ya karibuni si mazuri huwa nakwenda na kuacha kwenda.
Basi mambo yasiwe mengi last Sunday nikatimba church kwenye parokia yetu mambo niliyokutana nayo huko ni ya kusikitisha na nathubutu kuita kile alichokikemea mwokozi wetu Yesu kristu kwamba wasigeuze nyumba ya baba yake kuwa pango la walanguzi, kwa hakika hicho ndicho kinachoendelea parokiani kwetu si kanisa tena bali ni pango la walanguzi.
Sisi Wakatoliki huko nyuma tulikuwa tukiwacheka Lutheran kwa utaratibu wa sadaka nyingi na bahasha nyingi kumbe sasa utaratibu huo umeingia kwa speed kubwa kwenye kanisa katoliki ibada ya misa moja sadaka mnatowa mara saba, sina hakika na parokia zingine hali ikoje.
Sasa kila mwanaparokia unapewa kadi ya kuchanga pesa ya kuwa mkatoliki mume na mke 10,000)= kwa mwezi na watoto buku mbilimbili kila mwezi hii ni nje ya sadaka harambee na michango mingine, tunakwenda wapi?
Najuwa wapo watetezi waliolewa mvinyo wa dini watatetea uharamia huu kwa utetezi ni lazima tuchangie ujenzi wa kanisa, hakuna anayekataa hilo na tumekuwa tukijitolea miaka yote kwa kiasi, lakini naamini mtu ambaye yuko free minded hawezi kutetea uharamia huu kugeuza kanisa kuwa pango la walanguzi, na wasiokuwa na pesa za kuamka kwenye mabenchi mara saba kutowa hizo sadaka hawatojisikia vizuri na wataacha kuja kanisani kwa kuteswa kihisa kila watu wakiinuliwa kwenye mabenchi wao hawana kitu.
Hiyo sasa tisa kumi ni hawa jamaa zetu born again, nipo hapa nyumbani namsikiliza mtumishi wa Mungu akitangaza viwango vya sadaka ya kugombowa uzao wa kwanza ni laki mbili, uzao wa pili laki na na nusu, uzao wa tatu laki.
Kutokana na uharamia huu na unyang'anyi unaoendelea kupitia mwamvuli wa dini serikali haiwezi kusaidia lolote katika hili kwa sababu ni partners muhimu in crime.
Kwakuwa waislamu wanajitambuwa sana katika hili ni wakati sasa kwa wakristu wote kuamka na kupinga dhulma hii ambayo cha kusikitisha sasa imeingia radmi kanisa katoliki na hakuna hata mkatoliki mmoja aliwahi kuhoji miradi yote ya kanisa hadi mkombozi bank ipo kwa faida ya nani na inalisaidia vipi kanisa?
Tumsifu Yesu kristu.
Majibu kwa Matola:Nilijuwa watetezi hamuwezi kukosekana, hebu nieleze tu miradi ya kanisa katoliki ina faida gani kwa kanisa? Na ile benki yetu ya Mkombozi inalifaidisha vipi kanisa?
Kwani huko nyuma tuliweza vipi kujenga makanisa na mashule kwa sadaka za kawaida bila huu uharamia mpya ulioingia? Ni nini kilichobadirika?
Sisi parokia yetu ilikuwa na vigango vitatu na vyote vimekuwa parokia sasa zenye makanisa makubwa tu, tuliwezaje hayo kwa mwendo wa kawaida bila watu kunung'unika na leo kimebadirika nini?
Sijapenda tu kujiexpose, mimi nilikuwa ministrant na ningefaulu vizuru huenda ningeenda seminary na kuwa mtawa.Majibu kwa Matola:
Naona hapa umezungumzia shida ya michango kuwa mingi, namna ya kukusanya Sadaka au michango mingine ni miongozo ya Parokia husika si formula ya Parokia zote.
KANISA LINA NAMNA TATU TU ZA MATOLEO RASMI.
1.Zaka
2.Sadaka na
3. Shukrani ya Mavuno
Hayo mengjne ni Parokia husika, wapo baadhi ya Mapadri wamesimamia Zaka vizuri hivyo hawaruhusu michango mingine.
Yes you wrote.Alie design hiyo business model ya church business ni genius ndio maana alihakikisha kuna njia za kukubana ili usiache kutoa hela maisha yako yote.
Kwanza kabisa wanaanzia mbali kwa kukuingiza kwenye system tangu ukiwa mtoto mchanga kwa ubatizo. Pili unaaminishwa kwamba bila kubatizwa kanisani na kupewa sakramenti wewe si mkristo.
Hiyo yote unajengwa kisaikolojia ili uje upigwe vizuri. Baadae unaaminishwa kwamba ili uwe mkristo lazima utoe sadaka na michango yote ili "kueneza injili" na kusaidia jamii wakati kiuhalisia hamna kitu kama hicho.
Mwisho unaambiwa usipotoa michango hautazikwa na kanisa na unatishiwa usipozikwa na kanisa unaenda motoni..!!! Yaani system ipo self contained mwanangu kila kitu ni mumo kwa mumo..!
Yaani mtu unafika mahali unajua kabisa hapa napigwa, ila huna pa kutokea dadeki..!
Kwahiyo unataka kila mwanakanisa apate chochote nendeni mkajiunge na saccoss za kanisa zipo pale Jimbo kuu st Joseph.Sijapenda tu kujiexpose, mimi nilikuwa ministrant na ningefaulu vizuru huenda ningeenda seminary na kuwa mtawa.
Kwahiyo naelewa vizuri sana hapo nyuma kanisa lilikuwa vipi na sasa liko vipi.
Labda mkuu unaweza kunisaidia miradi yote mikubwa inayomilikiwa na kanisa inanufaisha vipi wakatoliki?
Wewe jamaa utakuwa mgonjwa wa akili, kwanza umesema mahudhurio yako Kanisani sio mazuri,Sasa kwenda tu siku moja umeleta malalamiko JF, Naomba nikuulize maswali yafuatayo na unijibu vizuri.Leo ni Jumapili ya matawi Yesu anaingia Jerusalem, lakini nikitafakari imani yangu ya ufuasi wa kristu napata mashaka makubwa sana.
To declare interest mimi nimezaliwa nimejikuta tu ni mkatoliki kwahiyo nipo hivyo mpaka leo, mahusiano yangu na Mungu naamini ni mazuri kiroho lakini mahudhurio yangu kanisani kwa miaka ya karibuni si mazuri huwa nakwenda na kuacha kwenda.
Basi mambo yasiwe mengi last Sunday nikatimba church kwenye parokia yetu mambo niliyokutana nayo huko ni ya kusikitisha na nathubutu kuita kile alichokikemea mwokozi wetu Yesu kristu kwamba wasigeuze nyumba ya baba yake kuwa pango la walanguzi, kwa hakika hicho ndicho kinachoendelea parokiani kwetu si kanisa tena bali ni pango la walanguzi.
Sisi Wakatoliki huko nyuma tulikuwa tukiwacheka Lutheran kwa utaratibu wa sadaka nyingi na bahasha nyingi kumbe sasa utaratibu huo umeingia kwa speed kubwa kwenye kanisa katoliki ibada ya misa moja sadaka mnatowa mara saba, sina hakika na parokia zingine hali ikoje.
Sasa kila mwanaparokia unapewa kadi ya kuchanga pesa ya kuwa mkatoliki mume na mke 10,000)= kwa mwezi na watoto buku mbilimbili kila mwezi hii ni nje ya sadaka harambee na michango mingine, tunakwenda wapi?
Najuwa wapo watetezi waliolewa mvinyo wa dini watatetea uharamia huu kwa utetezi ni lazima tuchangie ujenzi wa kanisa, hakuna anayekataa hilo na tumekuwa tukijitolea miaka yote kwa kiasi, lakini naamini mtu ambaye yuko free minded hawezi kutetea uharamia huu kugeuza kanisa kuwa pango la walanguzi, na wasiokuwa na pesa za kuamka kwenye mabenchi mara saba kutowa hizo sadaka hawatojisikia vizuri na wataacha kuja kanisani kwa kuteswa kihisa kila watu wakiinuliwa kwenye mabenchi wao hawana kitu.
Hiyo sasa tisa kumi ni hawa jamaa zetu born again, nipo hapa nyumbani namsikiliza mtumishi wa Mungu akitangaza viwango vya sadaka ya kugombowa uzao wa kwanza ni laki mbili, uzao wa pili laki na na nusu, uzao wa tatu laki.
Kutokana na uharamia huu na unyang'anyi unaoendelea kupitia mwamvuli wa dini serikali haiwezi kusaidia lolote katika hili kwa sababu ni partners muhimu in crime.
Kwakuwa waislamu wanajitambuwa sana katika hili ni wakati sasa kwa wakristu wote kuamka na kupinga dhulma hii ambayo cha kusikitisha sasa imeingia radmi kanisa katoliki na hakuna hata mkatoliki mmoja aliwahi kuhoji miradi yote ya kanisa hadi mkombozi bank ipo kwa faida ya nani na inalisaidia vipi kanisa?
Tumsifu Yesu kristu.
Mimi ni muumin wa kawaida tu, huwa siingii deep sana na sina mazoea wala ukaribu na viongozi/mapadre natimiza wajibu wangu tu. Naomba kueleweshwa na mimi.Sijapenda tu kujiexpose, mimi nilikuwa ministrant na ningefaulu vizuru huenda ningeenda seminary na kuwa mtawa.
Kwahiyo naelewa vizuri sana hapo nyuma kanisa lilikuwa vipi na sasa liko vipi.
Labda mkuu unaweza kunisaidia miradi yote mikubwa inayomilikiwa na kanisa inanufaisha vipi wakatoliki?
1 Wakorintho 7:32-351 Tim 3:2-3
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha
Kweli mkuu hata mimi nimeacha kwenda kanisani kutokana na sadaka na michango kuwa mingi mno kiasi kwamba ukipiga hesabu ya utitiri wa michango unakata tamaa ya kwenda kanisani.mara uta sikia mchango wa kununua gari la mtumishi nk. wakati Yesu huyo wanaomuhubili hakuwahi kumiliki hata baiskeli alikuwa anatembea kwa miguu! Naunga mkono hoja kuna haja ya kuhoji.Leo ni Jumapili ya matawi Yesu anaingia Jerusalem, lakini nikitafakari imani yangu ya ufuasi wa kristu napata mashaka makubwa sana.
To declare interest mimi nimezaliwa nimejikuta tu ni mkatoliki kwahiyo nipo hivyo mpaka leo, mahusiano yangu na Mungu naamini ni mazuri kiroho lakini mahudhurio yangu kanisani kwa miaka ya karibuni si mazuri huwa nakwenda na kuacha kwenda.
Basi mambo yasiwe mengi last Sunday nikatimba church kwenye parokia yetu mambo niliyokutana nayo huko ni ya kusikitisha na nathubutu kuita kile alichokikemea mwokozi wetu Yesu kristu kwamba wasigeuze nyumba ya baba yake kuwa pango la walanguzi, kwa hakika hicho ndicho kinachoendelea parokiani kwetu si kanisa tena bali ni pango la walanguzi.
Sisi Wakatoliki huko nyuma tulikuwa tukiwacheka Lutheran kwa utaratibu wa sadaka nyingi na bahasha nyingi kumbe sasa utaratibu huo umeingia kwa speed kubwa kwenye kanisa katoliki ibada ya misa moja sadaka mnatowa mara saba, sina hakika na parokia zingine hali ikoje.
Sasa kila mwanaparokia unapewa kadi ya kuchanga pesa ya kuwa mkatoliki mume na mke 10,000)= kwa mwezi na watoto buku mbilimbili kila mwezi hii ni nje ya sadaka harambee na michango mingine, tunakwenda wapi?
Najuwa wapo watetezi waliolewa mvinyo wa dini watatetea uharamia huu kwa utetezi ni lazima tuchangie ujenzi wa kanisa, hakuna anayekataa hilo na tumekuwa tukijitolea miaka yote kwa kiasi, lakini naamini mtu ambaye yuko free minded hawezi kutetea uharamia huu kugeuza kanisa kuwa pango la walanguzi, na wasiokuwa na pesa za kuamka kwenye mabenchi mara saba kutowa hizo sadaka hawatojisikia vizuri na wataacha kuja kanisani kwa kuteswa kihisa kila watu wakiinuliwa kwenye mabenchi wao hawana kitu.
Hiyo sasa tisa kumi ni hawa jamaa zetu born again, nipo hapa nyumbani namsikiliza mtumishi wa Mungu akitangaza viwango vya sadaka ya kugombowa uzao wa kwanza ni laki mbili, uzao wa pili laki na na nusu, uzao wa tatu laki.
Kutokana na uharamia huu na unyang'anyi unaoendelea kupitia mwamvuli wa dini serikali haiwezi kusaidia lolote katika hili kwa sababu ni partners muhimu in crime.
Kwakuwa waislamu wanajitambuwa sana katika hili ni wakati sasa kwa wakristu wote kuamka na kupinga dhulma hii ambayo cha kusikitisha sasa imeingia radmi kanisa katoliki na hakuna hata mkatoliki mmoja aliwahi kuhoji miradi yote ya kanisa hadi mkombozi bank ipo kwa faida ya nani na inalisaidia vipi kanisa?
Tumsifu Yesu kristu.
Hujui Dini Yako na hautaona ahueni yoyote popote uendako maana hata Kwa Waislam wamegawanyika Sana tu, kuwa na makanisa utitiri Kuna kuzuia vipi wewe kuwa Mkristo? Kuwa mkristo na Kwenda Kanisani ni vitu viwili tofauti, Ukristo uko moyoni mwako. Soma Vizuri biblia na uelewe sio unapelekwa na maneno ya mitaani.Ona waislam duniani kote wanajijua Kuna wale wajahidina na wasio wajahidina hata uende wapi duniani ukikuta muslam atakuwa kundi moja hapo ndio maana warabu wanawajengea misikiti, mda huu wa mwezi mtukufu Kuna misikiti Kila siku inatoa pesa kwa watu wasiojiweza kwenda kununua futari umeona hapo kwanini hawajaingiza ubinafsi na umimi kwenye Imani njoo kwetu Sasa
Kanisa la masanja mkandamizaji
Kanisa la mc pilipili
Kanisa la gwajima
Kanisa la mzee wa upako
Kanisa la mwamposa
Kanisa la kakobe
Na bado Kuna utitiri wa makanisa na bado wanapigana vijembe unasali wapi wewe ukisema kwa MC pilipili wanaanza kusengenya njoo uku yani
ingekuwa kula kitu moto inaruhusiwa uslam unaenda uko sema kiti moto kuacha dah ngumu, maana nishaionja Sasa kuacha ngumu