Kuna kitu huyu Samia kanikumbusha enzi hizo ndo nimeanza kuingia barabarani na chombo cha moto na nikapata ajali

Wagumu Tunadumu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2022
Posts
7,591
Reaction score
23,296
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi

Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa nilichofanya niliondoa gari kwa speed sana,wakuruka mapema wakaruka mwingine alichelewa kuruka alikuja kuruka akagalagala na aliumia ila mim nilimtazama kwenye vioo tu na sikusimama nikaendelea na safar zangu

Sasa alipoangukia yule mtoto ni karibu na kituo cha polisi,hvyo chapu kwa haraka kesi wakaibeba kabla hata ya kujua wazazi wa mtoto ni wapi

Wakanifukuzia mpaka wakanipata,wakanikamata wakanirudisha kituoni
Walivyonifikisha kituoni wakati wananihoji nikiwa na hasira zangu nikawa nakubali tu,tena najibu eee nilimgonga(maana wao hawakujua kama huyo mtoto alikuwa kadandia)

Wakati nahojiwa na kubali kila kitu kuna mmama nae ni polis mpaka alikuwa anashangaa mwsho wa siku akaniambia kwenye kesi huwa hatukubali moja kwa moja inatakiwa uwe unakataa au unajitetea na hii yote ilitokana na uchanga wangu wa kutokujua mambo mengi hapa ulimwenguni yanakwendaje

Sasa ndo ya Samia inawezekana mpaka kafikisha umri huo wa kikongwe hajawahi pata kesi yoyote hivyo kuhusiana na kesi anachukulia vitu kiurahis sana na ndo maana kakubali kiuharaka tu kukubali kwamba yeye ndo katuma watu wauwe na hao waliokufa walistahili

Wakati ilitakiwa hili jambo asikubali na apinge mwanzo mwsho na alikemee na atudanganye kwamba atawafatilia wote waliohusika na atawawajibisha

Lucas Mwashambwa
 
Inaonyesha bado huna akili japo unahisi una akili. Bado akili yako ni ya kitoto na kijinga na ndio maana unaweza kueleza hapa huo ujinga wako ambao mtu mwenye akili Timamu hawezi hata kuhadithia kwa watu. Wewe ni kubwa jinga.

Koma kabisa kumzungumzia Mheshimiwa Rais kama unavyopiga stori na wanawake wenzako.
 
Je, Samia wakati anahutubia anaongea hadi anashika kiuno alikuwa anajua anaongea kama rais wa nchi au ni mama tu ambaye anachambana na wamama wenzie?
 
Ajari ❌ ajali✅. Hii stori yako ni ya kipumbavu mno. Unadhani mtu aliyejadiliwa na kupitishwa na kamati kuu ya CCM anaweza kuwa na akili za kishenzi kama zako?
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...
Polisi ukiwa na kosa lolote dogo, ukikubali haraka haraka hua wanashangaa, washazoea heka heka...

Cc: Mahondaw
 
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi

Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa nilichofanya niliondoa gari kwa speed sana,wakuruka mapema wakaruka mwingine alichelewa kuruka alikuja kuruka akagalagala na aliumia ila mim nilimtazama kwenye vioo tu na sikusimama nikaendelea na safar zangu

Sasa alipoangukia yule mtoto ni karibu na kituo cha polisi,hvyo chapu kwa haraka kesi wakaibeba kabla hata ya kujua wazazi wa mtoto ni wapi

Wakanifukuzia mpaka wakanipata,wakanikamata wakanirudisha kituoni
Walivyonifikisha kituoni wakati wananihoji nikiwa na hasira zangu nikawa nakubali tu,tena najibu eee nilimgonga(maana wao hawakujua kama huyo mtoto alikuwa kadandia)

Wakati nahojiwa na kubali kila kitu kuna mmama nae ni polis mpaka alikuwa anashangaa mwsho wa siku akaniambia kwenye kesi huwa hatukubali moja kwa moja inatakiwa uwe unakataa au unajitetea na hii yote ilitokana na uchanga wangu wa kutokujua mambo mengi hapa ulimwenguni yanakwendaje

Sasa ndo ya Samia inawezekana mpaka kafikisha umri huo wa kikongwe hajawahi pata kesi yoyote hivyo kuhusiana na kesi anachukulia vitu kiurahis sana na ndo maana kakubali kiuharaka tu kukubali kwamba yeye ndo katuma watu wauwe na hao waliokufa walistahili

Wakati ilitakiwa hili jambo asikubali na apinge mwanzo mwsho na alikemee na atudanganye kwamba atawafatilia wote waliohusika na atawawajibisha

Lucas Mwashambwa
Akili yake ni kuwa rais hashitakiwa akiwa, au ametoka madarakani. Hana akili wala upeo mwingine nje ya huo. Anajua kesi zote zitafuata sheria za Tanzania tu.
 
Ajari ❌ ajali✅. Hii stori yako ni ya kipumbavu mno. Unadhani mtu aliyejadiliwa na kupitishwa na kamati kuu ya CCM anaweza kuwa na akili za kishenzi kama zako?
Kwa jinsi anavyofanya mambo mbali mbali anaonekana bonge la bogus

BEki 3 wangu sahv namuita Samia maana naona akili zao zipo sawa
 
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi

Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa nilichofanya niliondoa gari kwa speed sana,wakuruka mapema wakaruka mwingine alichelewa kuruka alikuja kuruka akagalagala na aliumia ila mim nilimtazama kwenye vioo tu na sikusimama nikaendelea na safar zangu

Sasa alipoangukia yule mtoto ni karibu na kituo cha polisi,hvyo chapu kwa haraka kesi wakaibeba kabla hata ya kujua wazazi wa mtoto ni wapi

Wakanifukuzia mpaka wakanipata,wakanikamata wakanirudisha kituoni
Walivyonifikisha kituoni wakati wananihoji nikiwa na hasira zangu nikawa nakubali tu,tena najibu eee nilimgonga(maana wao hawakujua kama huyo mtoto alikuwa kadandia)

Wakati nahojiwa na kubali kila kitu kuna mmama nae ni polis mpaka alikuwa anashangaa mwsho wa siku akaniambia kwenye kesi huwa hatukubali moja kwa moja inatakiwa uwe unakataa au unajitetea na hii yote ilitokana na uchanga wangu wa kutokujua mambo mengi hapa ulimwenguni yanakwendaje

Sasa ndo ya Samia inawezekana mpaka kafikisha umri huo wa kikongwe hajawahi pata kesi yoyote hivyo kuhusiana na kesi anachukulia vitu kiurahis sana na ndo maana kakubali kiuharaka tu kukubali kwamba yeye ndo katuma watu wauwe na hao waliokufa walistahili

Wakati ilitakiwa hili jambo asikubali na apinge mwanzo mwsho na alikemee na atudanganye kwamba atawafatilia wote waliohusika na atawawajibisha

Lucas Mwashambwa
Irrelevant. Serekali ya Samia inateka na kuuwa, yahani inawahujumu raia wake deliberately.
 
Back
Top Bottom