Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Nakubaliana na hoja hiiWakati ilitakiwa hili jambo asikubali na apinge mwanzo mwsho na alikemee na atudanganye kwamba atawafatilia wote waliohusika na atawawajibisha
Je, Samia wakati anahutubia anaongea hadi anashika kiuno alikuwa anajua anaongea kama rais wa nchi au ni mama tu ambaye anachambana na wamama wenzie?Inaonyesha bado huna akili japo unahisi una akili. Bado akili yako ni ya kitoto na kijinga na ndio maana unaweza kueleza hapa huo ujinga wako ambao mtu mwenye akili Timamu hawezi hata kuhadithia kwa watu. Wewe ni kubwa jinga.
Koma kabisa kumzungumzia Mheshimiwa Rais kama unavyopiga stori na wanawake wenzako.
Sasa kuna maana gani ya kuwaongoza watu ambao hawataki uwaongoze? Maana kuanzia kwenye chama kalazimisha kupitishwa bila hiyo demokrasia na kaja kwenye uchaguzi mkuu pia mambo hayo hayo.
Akili yake ni kuwa rais hashitakiwa akiwa, au ametoka madarakani. Hana akili wala upeo mwingine nje ya huo. Anajua kesi zote zitafuata sheria za Tanzania tu.Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi
Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa nilichofanya niliondoa gari kwa speed sana,wakuruka mapema wakaruka mwingine alichelewa kuruka alikuja kuruka akagalagala na aliumia ila mim nilimtazama kwenye vioo tu na sikusimama nikaendelea na safar zangu
Sasa alipoangukia yule mtoto ni karibu na kituo cha polisi,hvyo chapu kwa haraka kesi wakaibeba kabla hata ya kujua wazazi wa mtoto ni wapi
Wakanifukuzia mpaka wakanipata,wakanikamata wakanirudisha kituoni
Walivyonifikisha kituoni wakati wananihoji nikiwa na hasira zangu nikawa nakubali tu,tena najibu eee nilimgonga(maana wao hawakujua kama huyo mtoto alikuwa kadandia)
Wakati nahojiwa na kubali kila kitu kuna mmama nae ni polis mpaka alikuwa anashangaa mwsho wa siku akaniambia kwenye kesi huwa hatukubali moja kwa moja inatakiwa uwe unakataa au unajitetea na hii yote ilitokana na uchanga wangu wa kutokujua mambo mengi hapa ulimwenguni yanakwendaje
Sasa ndo ya Samia inawezekana mpaka kafikisha umri huo wa kikongwe hajawahi pata kesi yoyote hivyo kuhusiana na kesi anachukulia vitu kiurahis sana na ndo maana kakubali kiuharaka tu kukubali kwamba yeye ndo katuma watu wauwe na hao waliokufa walistahili
Wakati ilitakiwa hili jambo asikubali na apinge mwanzo mwsho na alikemee na atudanganye kwamba atawafatilia wote waliohusika na atawawajibisha
Lucas Mwashambwa
Hashitakiwi mahakama za ndani tu.Amiri jeshi hashtakiwi
Kwa jinsi anavyofanya mambo mbali mbali anaonekana bonge la bogusAjari ❌ ajali✅. Hii stori yako ni ya kipumbavu mno. Unadhani mtu aliyejadiliwa na kupitishwa na kamati kuu ya CCM anaweza kuwa na akili za kishenzi kama zako?
Sana yaan maana amezungumza mbele ya makameraSamia kawarahisishia kazi sana ICC
Irrelevant. Serekali ya Samia inateka na kuuwa, yahani inawahujumu raia wake deliberately.Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi
Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa nilichofanya niliondoa gari kwa speed sana,wakuruka mapema wakaruka mwingine alichelewa kuruka alikuja kuruka akagalagala na aliumia ila mim nilimtazama kwenye vioo tu na sikusimama nikaendelea na safar zangu
Sasa alipoangukia yule mtoto ni karibu na kituo cha polisi,hvyo chapu kwa haraka kesi wakaibeba kabla hata ya kujua wazazi wa mtoto ni wapi
Wakanifukuzia mpaka wakanipata,wakanikamata wakanirudisha kituoni
Walivyonifikisha kituoni wakati wananihoji nikiwa na hasira zangu nikawa nakubali tu,tena najibu eee nilimgonga(maana wao hawakujua kama huyo mtoto alikuwa kadandia)
Wakati nahojiwa na kubali kila kitu kuna mmama nae ni polis mpaka alikuwa anashangaa mwsho wa siku akaniambia kwenye kesi huwa hatukubali moja kwa moja inatakiwa uwe unakataa au unajitetea na hii yote ilitokana na uchanga wangu wa kutokujua mambo mengi hapa ulimwenguni yanakwendaje
Sasa ndo ya Samia inawezekana mpaka kafikisha umri huo wa kikongwe hajawahi pata kesi yoyote hivyo kuhusiana na kesi anachukulia vitu kiurahis sana na ndo maana kakubali kiuharaka tu kukubali kwamba yeye ndo katuma watu wauwe na hao waliokufa walistahili
Wakati ilitakiwa hili jambo asikubali na apinge mwanzo mwsho na alikemee na atudanganye kwamba atawafatilia wote waliohusika na atawawajibisha
Lucas Mwashambwa
Hata kama ana kinga ya milele lakin haikuwa vzur kukubali kwamba kauwaHuyo ana kinga ya MILELE.hakuna anayeweza kumkamata
Kwani hajaua kweli?hataki kusumbua mahakamaHata kama ana kinga ya milele lakin haikuwa vzur kukubali kwamba kauwa