MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Sasa utamsafisha vp Huyo Kiongozi wako na hizo tuhuma za kimbari?
Mnaelekea pagumu,tanzania ilikua nchi ya amani bila ubaguzi sasa huyo shetani wa ubaguzi na ukabila kawaingilia,sasa mumeanza kusakama waha,wahangaza,wahaya,wanyambo eti ni watusi,poleni sana,kwa ushauri wangu hilolitakua kosa kubwa na ambalo mtajutia,kwani mtaipoteza amani na kuirudisha itawagharimu sana,mungu apushilie mbali huyo pepo wa ukabila.
hakika wengi wetu humu tufahamu taifa la israel, wayahudi, historia ya wayahudi na nguvu zao kisiasa na kijeshi. Na pia naamini wengi tunahamu rwanda, tutsi, historia yao na nguvu yao kisiasa na kijeshi. Hawa watu historia yao inafanana kiasi, wote wamepitia kipindi cha kuuliwa na kunyanyaswa sana tofauti wayahudi waliuliwa na wanazi wa kijerumani, na dikteta amin,nk kwa upande wa tutsi wao waliuwawa na majirani zao wahutu. Kwa sasa hawa watu wana dola wanaziongoza wayahudi israel watutsi rwanda na tunashuhudia jinsi hizi dola mbili zilivyo na usumbufu kwa nchi jirani israel mashariki ya kati na rwanda mashariki mwa afrika kiasi kwamba nchi za magharibi wakiongozwa na kilanja wao mkuu marekani wanashindwa wafanyeje na kubaki kusema kwa maneno tu eti israel ikomeshe kujenga makazi ya walowezi kule israel mara rwanda inasaidia waasi kule kongo waache mara moja, ukweli hizi jamii mbili ni hatari sana sasa, zilitaabika sana kwa kuuwawa kwa maelfu lakin hivi sasa mwenyezi mungu anazifuta machozi ukizigusa tu umeisha, mungu anakuadhibu. Ukiangalia israel kazungukwa na mataifa ya kiarabu ambayo baadhi ama yote hayampendi kwa sababu ya kunyanyasa ndugu zao wa palestina, kwa akili ya kawaida si wangeungana wakampiga ili akome ila kwa kuwa wale wahusika wanajua siri ya urembo. Ukija kwa upande wa rwanda utasikia serikali ya congo inalalamika rwanda wanasaidia waasi na wanapora madini rais analalamika, jeshi la congo linalalamika lakin kwa akili ya kawaida fikra zinasema kwa nn linchi likubwa kama congo lisikavamie na kukaadhibu karwanda ili kakome na kihelehele chake cha kuwasaidia waasi kunyanyasa wakongoman na kupola rasilimali zao? Ila wahusika kwa kuwa wana busara wanaijua siri ya urembo. Sasa huu msala naona umehamia kwa nchi yetu tanzania na kuna watu huku mtaani wanasema tuivamie rwanda weweweweweh! Sio jambo la kuthubutu kabisa hilo make cha moto tutakacho kipata hatutasahau sisi hadi wajukuu wetu. Hoja eti sisi nchi yetu kubwa karwanda kadogo. Hivi sisi nchi kubwa kuliko kongo? Vita sio linchi likubwa asee ndo unawin. Mfano marekani na nato wanapigana na kakikundi tu taliban waulize mziki ulivyo mnene. Namaliza kwa kusema hivi 'ushauri mzuri sio rahisi kuupata na hata ukiupata sio rahisi kuufuata hasa kwa mswahili' nashauri tanzania tusipigane na rwanda kijeshi tutajuta bali tupigana hivi kwa maneno au haya mambo yaishe kabisa na haya yote rais anajua na jeshi letu linajua sasa nyie huku kitaa shobokeni tu.
Kiongozi umenena vema, Rwanda wako vizuri sanai na wana field ya kivita kwanzia jeshi hadi wananchi, sis hapa hata hao wajeda baadhi tu ndio wana field ya kivita kwa watanzania tulio weng hatujui vita ni nn, laiti cku moja Tanzania ikipaniki ikaenda kuivamia Rwanda basi naamini kabisa ile mikoa ya Kagera na Kigoma tutawasahau.
Over
Pengine wanaitaka kigoma,na vile iliwahi kuwa chini ya wabelgiji.
Hizo tuhuma ni fabrication ya hao wafaransa,na kwakua hazina uzito wa evidence ndio maana hazina makali,nahiyo waliileta ilikuonyesha double genocide tena hiyo haijawahi kutokea rwanda,kulikua one jenocide ya watusi.
.... NON SENSE!....arguing with you is just wastage of time!Hakika wengi wetu humu tufahamu taifa la israel, wayahudi, historia ya wayahudi na nguvu zao kisiasa na kijeshi. Na pia naamini wengi tunahamu rwanda, tutsi, historia yao na nguvu yao kisiasa na kijeshi. Hawa watu historia yao inafanana kiasi, wote wamepitia kipindi cha kuuliwa na kunyanyaswa sana tofauti wayahudi waliuliwa na wanazi wa kijerumani, na dikteta amin,nk kwa upande wa tutsi wao waliuwawa na majirani zao wahutu. Kwa sasa hawa watu wana dola wanaziongoza wayahudi israel watutsi rwanda na tunashuhudia jinsi hizi dola mbili zilivyo na usumbufu kwa nchi jirani israel mashariki ya kati na rwanda mashariki mwa afrika kiasi kwamba nchi za magharibi wakiongozwa na kilanja wao mkuu marekani wanashindwa wafanyeje na kubaki kusema kwa maneno tu eti israel ikomeshe kujenga makazi ya walowezi kule israel mara rwanda inasaidia waasi kule kongo waache mara moja, ukweli hizi jamii mbili ni hatari sana sasa, zilitaabika sana kwa kuuwawa kwa maelfu lakin hivi sasa mwenyezi MUNGU anazifuta machozi ukizigusa tu umeisha, MUNGU anakuadhibu. Ukiangalia israel kazungukwa na mataifa ya kiarabu ambayo baadhi ama yote hayampendi kwa sababu ya kunyanyasa ndugu zao wa palestina, kwa akili ya kawaida si wangeungana wakampiga ili akome ila kwa kuwa wale wahusika wanajua siri ya urembo. Ukija kwa upande wa rwanda utasikia serikali ya congo inalalamika rwanda wanasaidia waasi na wanapora madini rais analalamika, jeshi la congo linalalamika lakin kwa akili ya kawaida fikra zinasema kwa nn linchi likubwa kama congo lisikavamie na kukaadhibu karwanda ili kakome na kihelehele chake cha kuwasaidia waasi kunyanyasa wakongoman na kupola rasilimali zao? Ila wahusika kwa kuwa wana busara wanaijua siri ya urembo. Sasa huu msala naona umehamia kwa nchi yetu tanzania na kuna watu huku mtaani wanasema tuivamie rwanda weweweweweh! Sio jambo la kuthubutu kabisa hilo make cha moto tutakacho kipata hatutasahau sisi hadi wajukuu wetu. Hoja eti sisi nchi yetu kubwa karwanda kadogo. Hivi sisi nchi kubwa kuliko kongo? Vita sio linchi likubwa asee ndo unawin. Mfano marekani na NATO wanapigana na kakikundi tu taliban waulize mziki ulivyo mnene. Namaliza kwa kusema hivi 'ushauri mzuri sio rahisi kuupata na hata ukiupata sio rahisi kuufuata hasa kwa mswahili' nashauri tanzania tusipigane na rwanda kijeshi tutajuta bali tupigana hivi kwa maneno au haya mambo yaishe kabisa na haya yote rais anajua na jeshi letu linajua sasa nyie huku kitaa shobokeni tu.
kiongozi umenena vema, rwanda wako vizuri sana na wana field ya kivita kwanzia jeshi hadi wananchi, sis hapa hata hao wajeda baadhi tu ndio wana field ya kivita kwa watanzania tulio weng hatujui vita ni nn, laiti cku moja tanzania ikipaniki ikaenda kuivamia rwanda basi naamini kabisa ile mikoa ya kagera na kigoma tutawasahau.
Over
Umesema kweli, taifa linaloongozwa na muuaji (kagame) ulifananishe na TAIFA TEULE LA MUNGU???... Hii ni kumdhihaki MUNGUwatusi kwa kujipendekeza hamjambo hamuoni hta aibu kujifananisha na wayahudi?
.... Non sense!....arguing with you is just wastage of time!
Hakuna hicho kitu kijana! Wewe ni mgeni kwa Tz.
Hakika wengi wetu humu tufahamu taifa la israel, wayahudi, historia ya wayahudi na nguvu zao kisiasa na kijeshi. Na pia naamini wengi tunahamu rwanda, tutsi, historia yao na nguvu yao kisiasa na kijeshi. Hawa watu historia yao inafanana kiasi, wote wamepitia kipindi cha kuuliwa na kunyanyaswa sana tofauti wayahudi waliuliwa na wanazi wa kijerumani, na dikteta amin,nk kwa upande wa tutsi wao waliuwawa na majirani zao wahutu. Kwa sasa hawa watu wana dola wanaziongoza wayahudi israel watutsi rwanda na tunashuhudia jinsi hizi dola mbili zilivyo na usumbufu kwa nchi jirani israel mashariki ya kati na rwanda mashariki mwa afrika kiasi kwamba nchi za magharibi wakiongozwa na kilanja wao mkuu marekani wanashindwa wafanyeje na kubaki kusema kwa maneno tu eti israel ikomeshe kujenga makazi ya walowezi kule israel mara rwanda inasaidia waasi kule kongo waache mara moja, ukweli hizi jamii mbili ni hatari sana sasa, zilitaabika sana kwa kuuwawa kwa maelfu lakin hivi sasa mwenyezi MUNGU anazifuta machozi ukizigusa tu umeisha, MUNGU anakuadhibu. Ukiangalia israel kazungukwa na mataifa ya kiarabu ambayo baadhi ama yote hayampendi kwa sababu ya kunyanyasa ndugu zao wa palestina, kwa akili ya kawaida si wangeungana wakampiga ili akome ila kwa kuwa wale wahusika wanajua siri ya urembo. Ukija kwa upande wa rwanda utasikia serikali ya congo inalalamika rwanda wanasaidia waasi na wanapora madini rais analalamika, jeshi la congo linalalamika lakin kwa akili ya kawaida fikra zinasema kwa nn linchi likubwa kama congo lisikavamie na kukaadhibu karwanda ili kakome na kihelehele chake cha kuwasaidia waasi kunyanyasa wakongoman na kupola rasilimali zao? Ila wahusika kwa kuwa wana busara wanaijua siri ya urembo. Sasa huu msala naona umehamia kwa nchi yetu tanzania na kuna watu huku mtaani wanasema tuivamie rwanda weweweweweh! Sio jambo la kuthubutu kabisa hilo make cha moto tutakacho kipata hatutasahau sisi hadi wajukuu wetu. Hoja eti sisi nchi yetu kubwa karwanda kadogo. Hivi sisi nchi kubwa kuliko kongo? Vita sio linchi likubwa asee ndo unawin. Mfano marekani na NATO wanapigana na kakikundi tu taliban waulize mziki ulivyo mnene. Namaliza kwa kusema hivi 'ushauri mzuri sio rahisi kuupata na hata ukiupata sio rahisi kuufuata hasa kwa mswahili' nashauri tanzania tusipigane na rwanda kijeshi tutajuta bali tupigana hivi kwa maneno au haya mambo yaishe kabisa na haya yote rais anajua na jeshi letu linajua sasa nyie huku kitaa shobokeni tu.
Hatuwahisi kuwa wanyarwanda, bali TWAWAJUA kuwa ni watutsi!....note the difference!..na kwa taarifa yenu hamuwezi kuanzisha moto katika Taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!....keep on day dreaming.. you tutsis are disgusting...MNATIA KINYAAKila kitu kina dalili zake,kama mmefikia kuanza kuwahisi baadhi ya wabunge,police,wanajeshi,walimu,madaktari eti ni wanyarwanda na kuwaona kama threat,basi hapo ndio moto utaanzia.
Kila kitu kina dalili zake,kama mmefikia kuanza kuwahisi baadhi ya wabunge,police,wanajeshi,walimu,madaktari eti ni wanyarwanda na kuwaona kama threat,basi hapo ndio moto utaanzia.
mhh kwa hiyo hawa jamaa walifika hapa kwetu na wakatuchunguza vya kutosha, usikute mzee othman aliwapa data hawa watu.. Huenda hatuko salama kama tunavyojidanganya. Hao usalama wa taifa kumbe hawaaminiani na kila mtu anamaono yake.. kazi ipo