Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Mkuu tanzania iko ukanda gan labda??

Nani amesema tz ndo kilele cha natural resources Africa?
Tz inajilinganisha na nchi jiran za Great lake region.
Ukiitoa Kongo Tz is next kwa natural resources katika nchi za maziwa makuu…..

Ukanda doesn't change conservative nature ya wabongo.

Kuna nchi hazina rasilimali na bado ni tajiri, utajiri sio rasilimali tu. Kenya wametuacha mbali japokuwa tuna rasilimali zaidi yao.

Best gold refineries duniani zipo Swiss ila Swiss haina hata shimo moja la kuchimba dhahabu.

Inferiority complex waliyonayo wabongo inasababishwa na ujinga ndo maana JPM alikua anawaita wanyonge. Wanajiweka kwenye box wenyewe wakidhani wao tu ndo matajiri na kila mtu anawaanglia, dunia ishaondoka huko. Unaweza kuwa na kila kitu na bado ukawa fukara.
 
Ya nini kuhangaika na nchi yenye fyoko fyoko? Si muende ambako hakuna fyoko fyko?
 

Ok mkuu,,,,
Lakini Kenya Tutaiacha mbali na haitaweza kutukuta tena.
Hii mentality ilikuepo kutokana na sera yetu ya ujamaa but haina maana ndo mbaya.
Usibabaike na Gdp za karatas mkuu….
Maisha ya wakenya n magumu mno…especially kwa wakenya waliowengi
Kinachoipa Nairobi advantage ni kuwa na makampuni mengi kuliko dodoma lakin pia wenzetu wanawekeza kwene technologia ssi tuna phobia na technology
 

Hoping for the best, mkuu. Godspeed.
 
Huu ndio mrejesho wanaotaka, kuwa wanahofiwa.
 
Njoo mafia huku wamejazana kibao mpaka Tena kina mama kagame ashaingia hatuwezi Tena tuna mikwara Kama jeshi la Israel Ila wap
 
Wanogopa na Kiingereza hilo umelisahau
 
Afrika tukiacha kuchukiana hususan sisi zao la CCM tutaweza kupiga hatua nyingi sana kwa muda mfupi.

Hapa tumekaa kulishwa maneno yenye kujaa kila aina ya chuki kwa sababu tu PK ameweza kufanya yale ambayo viongozi wengi Afrila wameshindwa.

Tujiulize na kujifunza aliwezaje. Kupambana kumporomosha ni kuiporomosha Rwanda. Tusirudi kwenye zile siasa zilizozalisha mauaji ya Kimbari.

Kagame ana maamuzi magumu yenye akili kwa ajili ya Taifa lake ambalo ni sehemu ya Afrika.

Maguvu yetu na akili tumeyaelekeza kwenye kurogana na kuuana ili kushinda chaguzi na kupata teuzi. Hatufikirii kuwa nchi imetoboka haina mbele wala nyuma. Yaani tupo tupo tu.

Kumsema na kumtungia jina baya Kagame hakutusaidii popote. Tukae chini tuchukue mazuri yake na tushindane naye kimantiki ya maendeleo na mabadiliko.

Tuache ujinga
 
Kwani Marekani si ndo kawafundisha issue za demokrasia, kwanin muikubali demokrasia afu mumkatae kagame huku mkijua issue ni win win situation
 
Wahutu wanasubiri wa kuliamsha tu, yajirudie ya nduli na Gaddafi
Mnaeza mkawa wengi afu wote wajinga, ni ngumu kupata changes. Tusiende mbali mfano mzuri ni wafuasi wa CCM ni wengi afu wote wajinga tusitegemee lolote nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…