Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Huyo unaye muhita RAIS NI RAIA FEKIHizo bandari tumeporwa vipi wakati Rais akiwa na akili timamu kazigawa bure?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo unaye muhita RAIS NI RAIA FEKIHizo bandari tumeporwa vipi wakati Rais akiwa na akili timamu kazigawa bure?!
Okay, hapo sawa.Huyo unaye meita RAIS NI RAIA FEKI
Mkuu tanzania iko ukanda gan labda??
Nani amesema tz ndo kilele cha natural resources Africa?
Tz inajilinganisha na nchi jiran za Great lake region.
Ukiitoa Kongo Tz is next kwa natural resources katika nchi za maziwa makuu…..
Ya nini kuhangaika na nchi yenye fyoko fyoko? Si muende ambako hakuna fyoko fyko?View attachment 2897102
If you think TZ is a top gold-producing country you must be delusional.
Nchi zote hizo zinazalisha gold na they're not as delusional kama wabongo. Wabongo mnaamini TZ tu ndo ina gold na rasilimali zote, mnaamini kila mtu anaitamani bongo kumbe watu hawaijui kabisa.
Imagine Ghana, SA au Nigeria ambao ni top producers wa karibu kila kitu from gold, oil, gas to entertainment wangekua delusional and conservative kama wabongo wangekua wapi? Ndo kwanza wanakaribisha wageni, wanatoka nje ya nchi zao na wana uraia pacha. Nenda bongo sasa ni ujinga ujinga tu from a common Joe to the top sherrif. Mawazo mgando wote "kila mtu anatuonea wivu fyoko fyoko fyoko."
Ya nini kuhangaika na nchi yenye fyoko fyoko? Si muende ambako hakuna fyoko fyko?
Ukanda doesn't change conservative nature ya wabongo.
Kuna nchi hazina rasilimali na bado ni tajiri, utajiri sio rasilimali tu. Kenya wametuacha mbali japokuwa tuna rasilimali zaidi yao.
Best gold refineries duniani zipo Swiss ila Swiss haina hata shimo moja la kuchimba dhahabu.
Inferiority complex waliyonayo wabongo inasababishwa na ujinga ndo maana JPM alikua anawaita wanyonge. Wanajiweka kwenye box wenyewe wakidhani wao tu ndo matajiri na kila mtu anawaanglia, dunia ishaondoka huko. Unaweza kuwa na kila kitu na bado ukawa fukara.
Ondokeni hadi kwenye haya majukwaa ya nchi ya fyoko fyojo, poteeni kabisa..Tuondoke mara ngapi?
Ok mkuu,,,,
Lakini Kenya Tutaiacha mbali na haitaweza kutukuta tena.
Hii mentality ilikuepo kutokana na sera yetu ya ujamaa but haina maana ndo mbaya.
Usibabaike na Gdp za karatas mkuu….
Maisha ya wakenya n magumu mno…especially kwa wakenya waliowengi
Kinachoipa Nairobi advantage ni kuwa na makampuni mengi kuliko dodoma lakin pia wenzetu wanawekeza kwene technologia ssi tuna phobia na technology
Wanogopa na Kiingereza hilo umelisahauUjamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.
Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogpa uraia pacha, mnaogopa kushindana globally, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. The inferiority complex of the highest order.
Kimeshanuka msitu was Kongo!!?Mara hii, KP hatoboi. Tusubiri.
Wingi haujawah kua hoja ya maanaAkili kubwa upumbavu tu, angekuwa na akili kubwa angeunganisha taifa lake
ni suala la mda tu wahutu hawatakuwa wanyonge daima huku ndio majority
Hapo umeongea la Maana sana kamanda, ikiwezekana tuungane na Rwanda kama tulivyoungana na Zanzibar.Tunataka mbususu za kinyarwanda
Afrika tukiacha kuchukiana hususan sisi zao la CCM tutaweza kupiga hatua nyingi sana kwa muda mfupi.Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Si hoja under which context au umekalili misemo bila kuilewaWingi haujawah kua hoja ya maana
Ahya wenye akili mnasemaje?Sio hoja kwa wajinga wenye akili wanaelewa ni hoja
Kwani Marekani si ndo kawafundisha issue za demokrasia, kwanin muikubali demokrasia afu mumkatae kagame huku mkijua issue ni win win situationRais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Wahutu wanasubiri wa kuliamsha tu, yajirudie ya nduli na GaddafiAhya wenye akili mnasemaje?
Mnaeza mkawa wengi afu wote wajinga, ni ngumu kupata changes. Tusiende mbali mfano mzuri ni wafuasi wa CCM ni wengi afu wote wajinga tusitegemee lolote nchi hii.Wahutu wanasubiri wa kuliamsha tu, yajirudie ya nduli na Gaddafi