Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Mimi nikiona kwenye media jinsi ambavyo watu wanakufa,wanawake,watoto na Wazee wanavyoteseka huwa sishabikii Vita!
Shida yetu tunashabikia vita kama tunavyoshabikia mpira wa Yanga na Simba!
Fuatilia mfano wa Vita kati ya Ukraine na Russia! Tukizingatia Ukubwa na Uwezo wa Russia kijeshi tuliamini ndani ya wiki mbili tu Russia ingekuwa imeshaiteka Ukraine lakini ni mwaka wa tatu sasa mambo ni tight kwa Russia.
Ndiyo hapa sasa tunawaza kishabiki kuwa ndani ya dakika 2 vita vikianza Rwanda itapigwa na kutekwa kirahisi.
Ngoja nikae kimya NIENDELEE KUOMBEA AMANI DUNIANI!
Russia,Ukraine,Sudan,Somalia,Syria,Yemen,Congo,Israel na Palestina.
Msingi wa Maombi yangu: Mungu wetu ni wa Amani SIYO Mungu wa Machafuko,1 Wakorintho12:34
 
Niombe waliowahi kwenda vitani watoe shuhuda zao namna vita ilivo..faida na hasara zake sio hao wanaokuja humu kubwabwaja maneno ya uchonganishi tu hata hawajui vita ilivo...Vita sio sawa na mchezo wa Mpira na siasa za mdomoni.
 
Kweli kabisa tanzania hatuna jeshi la kumpiga kagame ukweli mchungu Rwanda ni kama Israel
Nyie watu wajinga mnatumia matako kufikiri?? Hivi mnaijuwa strengths ya Tanzania kweli?

Hebu jaribu ku-GOOGLE ten strongest armies in Africa uone Tanzania iko namba ngapi na hiyo wilaya ya Rwanda iko namba ngapi?

 
Nyie watu wajinga mnatumia matako kufikiri?? Hivi mnaijuwa strengths ya Tanzania kweli?

Hebu jaribu ku-GOOGLE ten strongest armies in Africa uone Tanzania iko namba ngapi na hiyo wilaya ya Rwanda iko namba ngapi?

View attachment 3219660
WE ndio mjinga unafikiri Kwa kutumia tako tanzania hamna jeshi ni wavunja matofali Kwa maonesho jeshi lipo Rwanda kama unabisha ingiza pua kigali
 
Kama ni mawe yamerushwa sana kwenye huu Uzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ but all in all mleta mada Leo ameleta kitu cha tofauti kati ya nyuzi nyingi zilizoandikwa humu kuzungumzia hii issue.

Mwisho wa siku haya ni mazungumzo baada ya habari huku Kila mmoja akiwa na mtazamo wake ambao kiuhalisia ni mawazo tu yasiyo na details zozote zenye athari chanya au hasi kwa taifa lolote kati ya yote ambayo yapo kwenye huu mgogoro.
 
Alafu tukiwagusa wanyarandwa walivyo warefu wataanzia kigoma kuwapiga watu wote wafupi alafu wanakuja mbeya huku watakuwa wanapiga mibuti ya tumbo maana tuwatu twa mbeya ni tufupi alafu tuna matumbo makubwa ,ndiyo baada watachuma fimbo waje dar kuwapiga viboko watoto wa Dar maana kuwapiga risasi ni kuwaonea tu .

Note :Vita itawapa shida huko Mara maana kuna mijitu ni mirefu na inasema kuwa Vita ni Vita mura hivyo ipo tayari kwa lolote muda wowote.
 
Kama ni mawe yamerushwa sana kwenye huu Uzi
Huu uzi umenihuzunisha sana. nimehuzunika sio kwa sababu ya kupingwa, la hasha. kupinga sio kosa, ni namna tunaweza kujengana. naweza nisiwe sahihi pia ktk kufikiri kwangu, hakuna mkamilifu chini ya jua.

ila sasa unapinga kwa hoja zipi? hapo ndio shida ilipo. mtu anapinga bila hoja yoyote na kuishia kutukana tu. hakika hii sio jF ya inteneshnozi. tupingane kwa hoja na stara.
 
Wengi wanaopinga wamefanya hivyo baada ya kupitia comments almost zote na kuangalia wengi wapo upande gani nao wakachagua upande ila kihoja hamna kitu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwani Kuna Nini mbona mjadala umekuwa sana kuhusisha militarily ubora kati ya Rwaduu na Tanziii
 
Licha ya makandokando tuliyonayo, jua kuwa tuna watu (vikosi kazi) mahali tofauti tofauti ambao wapo tayari muda wowote hata wakiambiwa acheni kunya Sasa hivi Kuna mahali tunahitaji kwenda basi wanatoka mbio Kwa furaha huku wakishangilia maana mikono Yao ilikuwa na kutu.
 
Niko na wewe udogo wa nchi sio udhaifu wa jeshi tazameni mfano mdogo Congo anavyo lizwa na hao M23 wanao pewa support na Rwanda. Msiende mbali waulize Msumbiji nani aliwasaidia.

JWTZ hii la leo haliwezi kupigana na Rwanda nawapeni πŸ’―
 
Mleta mada unajua huu ni UHAINI
Inatakiwa ushtakiwe kisha uliwe kichwa wewe ni msaliti na mchochezi!
 
Wewe ni Mtusi au mhutu? Usiwe na wasiwasi Tz hatuna muda na ndugu zako
 
Wanyarwanda mmeanza kuota mapembe wakati tumewasitiri tu kwenye nchi yetu.tutawafukuza?Tanzania tukiamua tunakunywa chai ikulu yenu asubuhi asubuhi.tumewapita kwa kila kitu kuanzia namba ya wanajeshi mpka uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…