Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfia dini umeingia ulingoni.Unakosea kumwita binadamu mwenzako Bwana wa Majeshi..sijui unaelewa kitu ulichokiandika.
Ukiona panya anacheza mbele ya paka, ujuwe mwenye panya yuko jiraniAtawanyoosha,Jamaa hatanii uwezo anao,jeshi analo mpaka ndani ya Ikulu za nchi zinazomzunguka za maziwa makuu.
Nyie watu wajinga mnatumia matako kufikiri?? Hivi mnaijuwa strengths ya Tanzania kweli?Kweli kabisa tanzania hatuna jeshi la kumpiga kagame ukweli mchungu Rwanda ni kama Israel
WE ndio mjinga unafikiri Kwa kutumia tako tanzania hamna jeshi ni wavunja matofali Kwa maonesho jeshi lipo Rwanda kama unabisha ingiza pua kigaliNyie watu wajinga mnatumia matako kufikiri?? Hivi mnaijuwa strengths ya Tanzania kweli?
Hebu jaribu ku-GOOGLE ten strongest armies in Africa uone Tanzania iko namba ngapi na hiyo wilaya ya Rwanda iko namba ngapi?
View attachment 3219660
Huu uzi umenihuzunisha sana. nimehuzunika sio kwa sababu ya kupingwa, la hasha. kupinga sio kosa, ni namna tunaweza kujengana. naweza nisiwe sahihi pia ktk kufikiri kwangu, hakuna mkamilifu chini ya jua.Kama ni mawe yamerushwa sana kwenye huu Uzi
Wengi wanaopinga wamefanya hivyo baada ya kupitia comments almost zote na kuangalia wengi wapo upande gani nao wakachagua upande ila kihoja hamna kitu 😅😅😅Huu uzi umenihuzunisha sana. nimehuzunika sio kwa sababu ya kupingwa, la hasha. kupinga sio kosa, ni namna tunaweza kujengana. naweza nisiwe sahihi pia ktk kufikiri kwangu, hakuna mkamilifu chini ya jua.
ila sasa unapinga kwa hoja zipi? hapo ndio shida ilipo. mtu anapinga bila hoja yoyote na kuishia kutukana tu. hakika hii sio jF ya inteneshnozi. tupingane kwa hoja na stara.
wewe unaziamini hizo takwimu?Nyie watu wajinga mnatumia matako kufikiri?? Hivi mnaijuwa strengths ya Tanzania kweli?
Hebu jaribu ku-GOOGLE ten strongest armies in Africa uone Tanzania iko namba ngapi na hiyo wilaya ya Rwanda iko namba ngapi?
View attachment 3219660
Niko na wewe udogo wa nchi sio udhaifu wa jeshi tazameni mfano mdogo Congo anavyo lizwa na hao M23 wanao pewa support na Rwanda. Msiende mbali waulize Msumbiji nani aliwasaidia.Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.
Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.
Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda kulinda amani.
Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.
Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Wanyarwanda mmeanza kuota mapembe wakati tumewasitiri tu kwenye nchi yetu.tutawafukuza?Tanzania tukiamua tunakunywa chai ikulu yenu asubuhi asubuhi.tumewapita kwa kila kitu kuanzia namba ya wanajeshi mpka uchumi.Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.