Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

JW wanauwezo wa kuwapiga zaidi ya wanavyopiga ngoma,rejea historia vizuri,hao ni vikinda tu vya kunguru
Historia ya vita vya kagera imebeba mengi sana... JWTZ walirahisishiwa ushindi baada ya jeshi la Amin kuasi na kuanza kupigana kumng'oa Amin walijiita UNLF ndio walikuwa wa kwanza hata kuuteka mji wa Kampala..
 
Buraza Kede vipi?
 
Kumbe mkuu jamaa waliasi jeshi lao
 
Rwanda ni wilaya tu kwa Tanzania, wala usitiptezee muda hapa wewe MTUSI
Insraeli Ina watu milion 9 tu na ardhi Yao hata Rwanda kubwa Sasa nenda kawaguse ndio utajua ukubwa wako wa pua sio wingi wa kamasi
 
Insraeli Ina watu milion 9 tu na ardhi Yao hata Rwanda kubwa Sasa nenda kawaguse ndio utajua ukubwa wako wa pua sio wingi wa kamasi
Israel wangekuwa na uwezo wasingehangaika na Hamas toka October 7, 2023 hadi Januari 2025 walipoomba POO!!

Wewe Juice world hakuna unachojua zaidi ya kusifia pumbu za Kagame
 
Israel wangekuwa na uwezo wasingehangaika na Hamas toka October 7, 2023 hadi Januari 2025 walipoomba POO!!

Wewe Juice world hakuna unachojua zaidi ya kusifia pumbu za Kagame
Tanzania ni nchi ya wanawake ndio maana kagame haiogopi sababu inaongozwa na mwanamke
 
Umeambiwa Tanzania ni nchi ya ugomvi?? Kwanini tumguse wakati hajagusa masilahi yetu. Acha usenge utakazwa bila maji mchana wote huu
Tanzania ni nchi ya wanawake ndio maana kagame anatamba tu sababu inaongozwa na bibi
 
Pamoja na hayo nchi haina public support
 
Tanzania ni nchi ya wanawake ndio maana kagame anatamba tu sababu inaongozwa na bibi
Baba zako walilelewa hapa baada ya kuvurumishwa na akina Hyabyarimana, leo unachonga mdomo. Kwani kuongozwa na mwanamke kuna shida gani?

Nyinyi huyu mtu mrefu mwembamba amewabana hata hamna uhuru wa kusema. Kijinchi cha kisenge sana hicho
 
Tanzania hamna jeshi ni wanawake watupu sababu wanaongozwa na wanawake hivyo hata we ni punga tu
 
Nini kinachotufanya tujaribu?
Tuna ugomvi na Rwanda?
Sijaona hoja unayojaribu kujenga kutokana na huu mgogoro unaoendelea, sijui unafikiria nini!
 
Punga ni baba yenu Paul Kagame. Na mijitu inayopakuliwa nyuma huwa ni mikatili sana.

Hata Hitler alikuwa punga
Punga ni wewe unaekubali kuongozwa na mtu anaechuvhumaa akikojoa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…